Seif ni mwanasiasa ambaye historia itakuja kumpa nishani hata akiwa kaburini.Ameona mbali kura ya leo ndiyo itakayowapa ushindi CCM wakipiga peke yao.Askari waliopiga kura leo kesho mapema watakuwa mitaani kuzuia wapiga kura wa Seif kwenda vituoni.Kwa maana hiyo kura ni leo sote na kesho sote au isiwepo kabisa.Safi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Huu wimbo wa kujifariji baada ya kushindwa na bado mtatapatapa Sana kutafuta sababu za kushindwa kumlipa Amsterdam maana mmemtapeli wakati mnajua HAKUNA wa kuipa saccos ya Mbowe uongozi wa JMT. Mpeni huyo Tundu Lissu aondoke nae Hapo Dec 18.CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Si Uingie tu barabarani ukaungane na wenzako kwenye maandamano.Yaani nna hasira mpaka kichwa kinaniuma
Usiwaingize wenzio chaka alafu wewe umejificha ndani unabonyeza vitufe vya simu,nenda wewe kaweke hiyo mifumo ya ulinzi kama unaweza.Kuna njama za kuwateka mawakala wa upinzani na kuwaweka mahabusu saa 48 kwa amri ya DC. Msipoweka mifumo ya kujilinda itakula kwenu
Zanxibar ccm wanapiga leo na kesho yaani wanapiga twice.
Wazanzibari imefika wakati lazima wawe na silaha za moto,ikiwa wana uwezo wa Kuwa na kila kitu,silaha ndio solution ya kumaliza mauaji,kila mzanzibari mwenye uwezo hima awe na silaha ya moto,Pemba/unguja,halafu ipigwe mbiu ya mgambo.Mimi naona kama vile hata polisi wanampaisha Maalim,wataacha watu wakapige kura za hasira na huruma.
Ninadhani hatayeye alijuatu kama atakamatwa hivyo kwake nikama kete ya ushindi
MS ni idiot.hata wazanzibar wote wapigie kura upinzani bado atatangazwa Mwinyi kashinda
Lengo ni kwamba mgombea wa upinzani ataki muungano ccm awawezi kumpa urais Maalim Seif Zanzibar labda kama angegombea mtu mwingine
Na kama wameamua kukinukisha ndio itakuwa rasmi zanzibar ni mkoa wa Tanganyika kuwanzia uchaguzi huu
Na kama uliona jana wajeshi wanawapa kichapo raia
Ndio rasmi sasa Zanzibar itarudi Tanganyika kinguvu ,, tega sikio
Wewe ujana wako hauna faida yoyote hata kwa wazazi wako.Maalim anazeeka na fujo zake.
Sasa inayopigwa na watu maalumu ni ipi ?!. Na je, vyama vimehusishwa ?!Zanzibar kuna kura mbili
Kura za viongozi wa Serkali ya mapinduzi
Na Rais Magufuli pamoja na wawakilishi
Ukisema uchaguzi Zanzibar utaenda kwa amani unakusudia vipi?Hapa mdo napomuelewaga magufuli...anatumia akili vizuri sana kudeal na wanaojifanya wanaweza kuwa juu yake...na mtashangaa zanzibar uchaguzi utaenda kwa amani na ccm itashinda kwa kishindo...
Soon watakiona cha mtema kuni hao wahuni wa ccm! Mnalazimisha huyo papasi wenu mwinyi asiyependwa, mwaka huu mtajua hamjui wahuni ninyi!
Hivi kwa nini namba ya kitambulisho cha mpiga kura huwa inaandikwa kwenye kipande kinachobaki kwa msimamizi cha kura unayopewa kwenda kuchagua unayeona anafaa kukuongoza? Naomba kuelimishwa.Wewe kampigie kura unayemtaka, kwani Nani ataona kura yako ni Siri yako.
Sasa inayopigwa na watu maalumu ni ipi ?!. Na je, vyama vimehusishwa ?!
Huja jibu swali langu jepesi kabisa !!. Vyama vimehusishwa ?!Watu maalumu ni wale ambao wanakuwa na majukumu siku ya Uchaguzi
Hili lipo kisheria