Maalim Seif akana kuitwa msaliti kwa kukubali SUK asema sio kila jambo unasusia!

Hata CCM ukionyesha nia ya kutaka Urais unafukizwa CCM kama Membe alivyofanyiwa
 
Lipumba alinunuliwa kwa dola milion 1.5 na Membe ii amtoroke Lowasa kwenye Ukawa pia Dr slaa alinunuliwa kwa dola milion 2 na kupewa nyumba Canada, CCM imenunua wapinzani kibao kwa njia haramu za kishetani, lakini chadema wenye msimamo wa kutonunulika wapo chadema hadi sasa hawanunuliki ndiyo maana CCM inahaha kuwabambikia kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji uovu mateso manyanyaso wanawaelekezea chadema, Zito kavuta dola milion 5 wamegawana na maalum seif ni biashara haramu ya siasa, wapinzani wa kweli ni chadema pekee kwani mpaka sasa wana utitiri wa kesi za kubambikiwa na CCM
 
Mtaji wa CCM ni kuwabambikia kesi wapinzani endapo ukikataa kununuliwa hata Zito kabwe angekataa kuchukua hizo dola milion 5 cash alizonunuliwa kuunda Serikali ya mseto lazima angebambikiwa kesi kubwa ya utakatishaji fedha na uhujumu uchumi
 
Unyumbu ni kulazimisha kile unachofikiri binafsi kuwa ni sawa wewe binafsi ni nyumbu hujitambui hujui hata maana ya siasa na wakati wake, mifano yako ni ya kishamba kidwanzi lakini kwa Akili zako finyu za kuwazia uteuzi unajiona mjanja.
Hahah! Nyumbu wa ufipa...mmeshikiwa akili sana hamjitambui
 
Hahah! Nyumbu wa ufipa...mmeshikiwa akili sana hamjitambui
Wewe ndiyo nyumbu na hujitambui nani kakuambia una Akili? Kuandika neno ufipa ndiyo unajitambua? Uteuzi umekufanya ujitoe fahamu zote, acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
 
Hata CCM ukionyesha nia ya kutaka Urais unafukizwa CCM kama Membe alivyofanyiwa
HHahah sindano imekuingia jomba nywiiii...umeleta mfano usiofanana kabisa...lowasa ilikuwaje mkamchukua..baadae akawatupilia mbali...umeshaona kiongozi wa chama chenu akiondoka na kurudi...unadhan kwanini
 
Ungekuwa Marekani wewe lazima ungekuwa mfuasi wa Trump. Wafuasi wa Trump hawajambo kwa bizarre and unsubstantiated claims!
 
Mtaji wa CCM ni kuwabambikia kesi wapinzani endapo ukikataa kununuliwa hata Zito kabwe angekataa kuchukua hizo dola milion 5 cash alizonunuliwa kuunda Serikali ya mseto lazima angebambikiwa kesi kubwa ya utakatishaji fedha na uhujumu uchumi
Hahaahaha..hivi we mnyoo maisha haya mtaishi mpaka lini...maisha ya kutunga tunga story kenge zitawafikisha wapi jomba..wenzenu wameshaanza kupiga kazi..wapo uchumi wa kati..wanasonga mbele...we mwenzetu upo uchumi upi kwa Sasa...hahaaha....kesheni mkipiga mayowe mpaka mfee
 
Hapana hizo figure zako siyo kweli..Lipumba dola milioni 500 na Membe dola milioni 700...Zito dola milioni 1000..ukiweza taja mahela yoyote..kwa raha zako..utakavypjisikia ukimaliza kakojoe ulale
 
Hapana hizo figure zako siyo kweli..Lipumba dola milioni 500 na Membe dola milioni 700...Zito dola milioni 1000..ukiweza taja mahela yoyote..kwa raha zako..ukimaliza kakojoe ulale..
 
Wewe ndiyo nyumbu na hujitambui nani kakuambia una Akili? Kuandika neno ufipa ndiyo unajitambua? Uteuzi umekufanya ujitoe fahamu zote, acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
Endelea kuzungusha mikono na kubadili gear angani tuu hapo Ufipa...Nyumbu mna vituko sana.
 
Ungekuwa Marekani wewe lazima ungekuwa mfuasi wa Trump. Wafuasi wa Trump hawajambo kwa bizarre and unsubstantiated claims!
Huyu jamaa ni Gwiji wa kutunga story Ufipa nzima hakuna yaani anakipaji cha aina yake.
 
Amepiga hesabu za umri wake akaona ni vema atafute kiinua mgongo ili astafu vizuri.
Mwacheni Maalim apige hela ya uzeeni.
 
HHahah sindano imekuingia jomba nywiiii...umeleta mfano usiofanana kabisa...lowasa ilikuwaje mkamchukua..baadae akawatupilia mbali...umeshaona kiongozi wa chama chenu akiondoka na kurudi...unadhan kwanini
Lowasa alirejea CCM kuepuka kubambikiwa kesi na pia alitaka mkwe wake atoke jela
 
CUF nacho ni chama cha upinzani baada ya Lipumba mfadhiliwa na CCM kukichukua?

Tatizo ni Lipumba kukiteka kukiharibu kwa msaada wa CCM

Shida ni hiyo...no one will ever trust CUF iliyoko chini ya Lipumba,no one!
Lipumba aliiteka CUF kutoka kwa nani? Kutoka kwa wapinzani wa kweli Maalim Seif na Mtatiro? Ndo akili yako inakutuma hivyo na bado unajiona uko sawa sawa!

Lipumba kupambania nafasi yake kwenye chama chake alichokiongoza miaka yote kabla wewe hujazaliwa ndo unaita "kukiteka chama". Ulipends kuona CUF ikipelekeshwa kwa akili za Maalim Seif kama ilivyo ACT? Lakini kwa akili zako bila shaka unamuamini Maalim yuko sahihi na maamuzi anayofanya kwavile ni mshirika wenu! Mshirika wenu anayeshirikiana na CCM kuunda utawala huko Zenji! Bado uko na matumaini na Seif wa ACT! Acha ujinga dogo!
 
Sasa ujinga wa Lpumba ni kununuliwa na Membe au kumkimbia Lowassa UKAWA? Hivi we kwa akili yako unaona Prof. Lipumba alianzisha UKAWA ili liwe jukwaa la kutumiwa na makada wa CCM kugombea urais?

Iweje ni ujinga kwa Lipumba kumkimbia Lowassa wa CCM na wakati huo huo iwe ni sahihi kwa CHADEMA na ACT kutumiwa na makada wa CCM kugombea urais? Acha ulofa!
 
Msikilize mwenyewe

Alipo umeuliza Lissu ni wapi?

Lissu ni mwasiasa mkomavu kama ilivyo Maalim. Hizi jitihada za kina mboga mboga kukaanga mbuyu na kuwaachia wenye meno watafune zitashindwa.

Washindwe nzi wa kijani na kulegea tepe tepe!
 
Sasa ujinga wa Lpumba ni kununuliwa na Membe au kumkimbia Lowassa UKAWA? Iweje ni ujinga kwa Lipumba kumkimbia Lowassa wa CCM na wakati huo huo iwe ni sahihi kwa CHADEMA na ACT kutumiwa na makada wa CCM kugombea urais? Acha ulofa!
Wewe ndiyo lofa kwa kumuona Lipumba ni mungu wako hana Dhambi kumbe hukujua Lipumba ni mwizi zaidi aliiba pesa ya luzuku ya CUF kipindi Seif akiwa katibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…