Kawadanganye wanasaccos wenzako. Unafikiri rahisi hivyo kuuvunja muungano huu. Mnadanganywa kirahisi sana na beberu Lissu kwa kuwa akili zenu zimechanganyika na kamasi.Muungano ndani ya Katiba ya Warioba ambayo itfanyiwa kazi na serikali mpya ya Lissu katika siku 100 za kwanza unapendekeza serikali 3
Jitahidi kuwahandaa wapemba wakubali kutoka bara warudi pemba kama watakubali basi umeshinda.Tunataka Zanzibar huru yenye mamlaka kamili. Zanzibar ni nchi yenye watu wake, mipaka yake na sheria zake kabla hata huu muungano haujatengenezwa.
Muungano ni koti tu, tukilichoka tunaweza kulivua. Tusilazimishwe kile ambacho hatukitaki.
Kawadanganye wanasaccos wenzako. Unafikiri rahisi hivyo kuuvunja muungano huu. Mnadanganywa kirahisi sana na beberu Lissu kwa kuwa akili zenu zimechanganyika na kamasi.
Endeleeni kuweweseka.......Majimbo hayawezi kujitangazia uhuru / kujitangaza kuwa dola kwasababu yameundwa kutoka ktk Tanzania Bara / Tanganyika.
..Zanzibar inaweza kujitoa ktk muungano kwasababu kabla ya 1964 walikuwa nchi / dola kamili.
..Msimamo wa Chadema ni muungano wa serikali 3 kama zilivyopendekezwa ktk rasimu ya Jaji Joseph Sinde Warioba.
Seif mzee wa kuharibu.Seif anawahadaa wapambe wake kwani ili kuvunja muungano inabidi ipatikane theruthi mbili ya bara na mbili ya Zanzibar wakati Zanzibar wagombea wake 15 wameshaenguliwa ni wazi hatazipata.
Wapemba wengi wamewekeza bara ikiwamo na yeye mwenyewe ana nyumba bara hivi unafikiri ni wajinga wamruhusu avunje muungano maana kitakachofuata kila mtu arudi kwao
Jitahidi kuwahandaa wapemba wakubali kutoka bara warudi pemba kama watakubali basi umeshinda.
Seif mzee wa kuharibu.
Yule alishawahi kuwa Ccm alilelewa na Ccm
Alifukuzwa kama membe
Wenzako wamewekeza Bara hawatakubali kuuvunja Muungano hata huyo Maalim ananyumba Bara na kila mara yupo Bara. By the way sisi wabara hasara ya kuvunja muungano ni ndogo sana labda ni kiulinzi tu lakini as long as makao makuu tumeshaanza kuhamishia Dodoma it is good move.Na unafikiri ni vigumu hivyo kuuvunja uvamizi huu uliopewa jina la muungano?? , Mnadanganywa na sahani ya pilau na paketi za sigara kali hapo Lumumba ?
Wenzako wamewekeza Bara hawatakubali kuuvunja Muungano hata huyo Maalim ananyumba Bara na kila mara yupo Bara. By the way sisi wabara hasara ya kuvunja muungano ni ndogo sana labda ni kiulinzi tu lakini as long as makao makuu tumeshaanza kuhamishia Dodoma it is good move.
Sioni tatizo na wananchi wakiamua kuuvunja muungano kwa kutumia utaratibu utakaowezesha hilo litokee kwa kutumia njia zitakazowawezesha wananchi kufanya hivyo kwa hiari yao wenyewe; kwa mfano kwa kutumia kura ya maoni juu ya jambo hilo pekee.Chadema na maalim seif wote wanasema
Muungano ni jambo la hiari wananchi Ndio waamue muungano gani wanaoutaka
Akilazimisha anafunguliwa kesi ya uhaini hata yeye anajua.
Muungano ukivunjika na faida zake zinavunjika bakhresa atabaki kama mwekezaji, wapemba aliowaajili watapunguzwa na wanaobaki itabidi walipiwe work permit na resident permit atakosa faida nyingi sana ndio utambue nani anafaidika na muungano
Muungano uvunjwe unatusaidia nini?Maana yake nini?
Kama nchi iko kwenye muungano na nchi nyingine, inaweza kudai kuwa na "mamlaka kamili" bila kuathiri muunganio huo?
Maalim, mgombea urais wa Zanzibar anapodai kuwa na mamlaka kamili, ana maana lengo lake ni kuuvunja muungano?
Akichaguliwa atachukua hatua zipi kuuvunja muungano.
Je, CHADEMA wana maoni gani kuhusu jambo hili? Na huko mbeleni, kama sera yao ya "Majimbo" itakuwa imetekelezwa endapo watapata ushindi, itakuwa halali kwa jimbo fulani kujichukulia "Mamlaka Kamili", kuachana na majimbo mengine?
Ni nini ushiriki wa wananchi katika uamzi wa kuuvunja au kutouvunja muungano, au inatosha tu kwa Maalim kuchaguliwa kwa sera hiyo kuchukua uamzi wa kuuondoa Muungano?
Maalim Seif anaifanya kazi ya Tundu Lissu kuwa ngumu zaidi wakati huu wa kampeni.
Na ndiyo hoja yao kubwa kulinda muungano ambao hauna manufaa kwa wananchi isipokuwa kwa viongozi.Kuiba kura kwa lengo la kulinda Muumgano sio tatizo sana
Mkuu 'Jocefhurs', kwa nini iwe "wananchi wa Zanzibar" pekee ndio wanaostahiri kuamua hatma ya muungano?Wananchi wa Zanzibar wangepewa nafasi ya kupiga kura za maoni kama wanataka huu muungano ikiwa hawautaki basi na uvunjwe tu.
Hakuna sababu ya kuwa na ndoa ambayo mwenzako haoni sababu.
Zanzibar ni nchi kamili ndani ya muungano, lakini uongozi wa pande zote mbili kwa kutofuata sheria na katiba Zanzibar imekuwa kama wilaya, yeye wanataka kuirudisha hadhi yake kwa mujibu wa katiba; tatizo la CCM kung'ania madaraka pande zote mbili kumeifanya iione Zanzibar kama ofisi ndogo ya chama!Maana yake nini?
Kama nchi iko kwenye muungano na nchi nyingine, inaweza kudai kuwa na "mamlaka kamili" bila kuathiri muunganio huo?
Maalim, mgombea urais wa Zanzibar anapodai kuwa na mamlaka kamili, ana maana lengo lake ni kuuvunja muungano?
Akichaguliwa atachukua hatua zipi kuuvunja muungano.
Je, CHADEMA wana maoni gani kuhusu jambo hili? Na huko mbeleni, kama sera yao ya "Majimbo" itakuwa imetekelezwa endapo watapata ushindi, itakuwa halali kwa jimbo fulani kujichukulia "Mamlaka Kamili", kuachana na majimbo mengine?
Ni nini ushiriki wa wananchi katika uamzi wa kuuvunja au kutouvunja muungano, au inatosha tu kwa Maalim kuchaguliwa kwa sera hiyo kuchukua uamzi wa kuuondoa Muungano?
Maalim Seif anaifanya kazi ya Tundu Lissu kuwa ngumu zaidi wakati huu wa kampeni.
Nami nitakuuliza, kwani umetunyima nini?Muungano uvunjwe unatusaidia nini?
Jibu hili lingesaidia zaidi kama ungefafanua ile sehemu ya swali langu kuhusu "nchi kuwa na mamlaka kamili, ilhali imo kwenye muungano." Je, hilo linawezekana?Zanzibar ni nchi kamili ndani ya muungano, lakini uongozi wa pande zote mbili kwa kutofuata sheria na katiba Zanzibar imekuwa kama wilaya, yeye wanataka kuirudisha hadhi yake kwa mujibu wa katiba; tatizo la CCM kung'ania madaraka pande zote mbili kumeifanya iione Zanzibar kama ofisi ndogo ya chama!
Zanzibar ina nafasi nzuri ya kuwa taifa lenye maendeleo makubwa ikijitenga kuliko sasa.Anamaanisha Zanzibar iwe natambulika kimataifa kama nchi na siyo mkoa
Sijakuelewa hapa,yaani faida ya kibiashara ni kwa Bakhresa kuwa na Wapemba wengi kwenye Biashara zake?Akilazimisha anafunguliwa kesi ya uhaini hata yeye anajua.