Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,332
Ni tafsida tu mkuu. Ujumbe ulifika kwa mhusika.Tafakuri makini juu ya msemo huu inahitajika. Kulinganisha mambo mazito yanayohusu nchi na kote la mtu binafsi ni kukosa weledi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tafsida tu mkuu. Ujumbe ulifika kwa mhusika.Tafakuri makini juu ya msemo huu inahitajika. Kulinganisha mambo mazito yanayohusu nchi na kote la mtu binafsi ni kukosa weledi.
Tunapodai serikali za majimbo we unadhani tunamaanisha Nini? ,Maana yake nini?
Kama nchi iko kwenye muungano na nchi nyingine, inaweza kudai kuwa na "mamlaka kamili" bila kuathiri muunganio huo?
Maalim, mgombea urais wa Zanzibar anapodai kuwa na mamlaka kamili, ana maana lengo lake ni kuuvunja muungano?
Akichaguliwa atachukua hatua zipi kuuvunja muungano.
Je, CHADEMA wana maoni gani kuhusu jambo hili? Na huko mbeleni, kama sera yao ya "Majimbo" itakuwa imetekelezwa endapo watapata ushindi, itakuwa halali kwa jimbo fulani kujichukulia "Mamlaka Kamili", kuachana na majimbo mengine?
Ni nini ushiriki wa wananchi katika uamzi wa kuuvunja au kutouvunja muungano, au inatosha tu kwa Maalim kuchaguliwa kwa sera hiyo kuchukua uamzi wa kuuondoa Muungano?
Maalim Seif anaifanya kazi ya Tundu Lissu kuwa ngumu zaidi wakati huu wa kampeni.
Zanziba siyo Jimbo mkuu .... ni nchi!!Maana yake nini?

Kwani ulipoundwa hizo theluthi zilipatikana au ulifanyika uhuni tu. Hata hivyo wazanzibar ni wamoja linapokuja suala la Muungano kinachotokea ni vitisho kutoka Dodoma ndivyo vinawatia hofu wahafidhina. Kama upinzani ukishika madaraka hata hao CCM wanotishwa hawatotishika tena. Usisahau katiba ya Zanzibar imeweka wazi kupigiwa kura kwa jambo lolote kubwa la kitaifa. Tutaitisha kura ya maoni kuhusu Muungano kama ilivyokuwa kwa Serikali ya umoja wa kitaifa.Seif anawahadaa wapambe wake kwani ili kuvunja muungano inabidi ipatikane theruthi mbili ya bara na mbili ya Zanzibar wakati Zanzibar wagombea wake 15 wameshaenguliwa ni wazi hatazipata.
Wapemba wengi wamewekeza bara ikiwamo na yeye mwenyewe ana nyumba bara hivi unafikiri ni wajinga wamruhusu avunje muungano maana kitakachofuata kila mtu arudi kwao
Huu ni UKULONI WA MTU MWEUS WACHENI WAZANZIBAR WAAMUE HATMA YAO WATANGANYIKA NI WAKOLONI TUUMaana yake nini?
Kama nchi iko kwenye muungano na nchi nyingine, inaweza kudai kuwa na "mamlaka kamili" bila kuathiri muunganio huo?
Maalim, mgombea urais wa Zanzibar anapodai kuwa na mamlaka kamili, ana maana lengo lake ni kuuvunja muungano?
Akichaguliwa atachukua hatua zipi kuuvunja muungano.
Je, CHADEMA wana maoni gani kuhusu jambo hili? Na huko mbeleni, kama sera yao ya "Majimbo" itakuwa imetekelezwa endapo watapata ushindi, itakuwa halali kwa jimbo fulani kujichukulia "Mamlaka Kamili", kuachana na majimbo mengine?
Ni nini ushiriki wa wananchi katika uamzi wa kuuvunja au kutouvunja muungano, au inatosha tu kwa Maalim kuchaguliwa kwa sera hiyo kuchukua uamzi wa kuuondoa Muungano?
Maalim Seif anaifanya kazi ya Tundu Lissu kuwa ngumu zaidi wakati huu wa kampeni.
Wewe mpumbavu kazi yenu kutugawa wazanzibar mpate mtutawale milele kumbuka kwamba hamtafanikiwa WAKOLONI WEUSISeif anawahadaa wapambe wake kwani ili kuvunja muungano inabidi ipatikane theruthi mbili ya bara na mbili ya Zanzibar wakati Zanzibar wagombea wake 15 wameshaenguliwa ni wazi hatazipata.
Wapemba wengi wamewekeza bara ikiwamo na yeye mwenyewe ana nyumba bara hivi unafikiri ni wajinga wamruhusu avunje muungano maana kitakachofuata kila mtu arudi kwao
Huna hoja nyamazaaa Muungano gani kila uchaguzi mtuletee vifaru kuja kutuuwaBoss, sijasema popote kuwa "muungano ni wa lazima".
Nadhani maudhui ya hoja zangu hukuyaweka maanani.
Wacha kututisha Wazanzibar wamezagaa dunia nzima na wanaishi Bakharesa ana viwanda ktk nchi zote za maziwa makuu wacheni ujingaAkilazimisha anafunguliwa kesi ya uhaini hata yeye anajua.
Muungano ukivunjika na faida zake zinavunjika bakhresa atabaki kama mwekezaji, wapemba aliowaajili watapunguzwa na wanaobaki itabidi walipiwe work permit na resident permit atakosa faida nyingi sana ndio utambue nani anafaidika na muungano
Waulize hao mwabwana zako wanaotunganganiaKama hamtaki muungano kitu gani mnataka bara kila mtu apambane na hali yake na rasilimali zake
Mna haki yankufanya lolote kama wazanzibar ila hata watanganyika pia tuna haki zetu kila mmoja atapambana na hali yakeKwani ulipoundwa hizo theluthi zilipatikana au ulifanyika uhuni tu. Hata hivyo wazanzibar ni wamoja linapokuja suala la Muungano kinachotokea ni vitisho kutoka Dodoma ndivyo vinawatia hofu wahafidhina. Kama upinzani ukishika madaraka hata hao CCM wanotishwa hawatotishika tena. Usisahau katiba ya Zanzibar imeweka wazi kupigiwa kura kwa jambo lolote kubwa la kitaifa. Tutaitisha kura ya maoni kuhusu Muungano kama ilivyokuwa kwa Serikali ya umoja wa kitaifa.
Matusi yako hayatasaidia wenzako waliutoa ukoloni kwa mapambano ya silaha na wewe nenda ukapambane halafu utapata majibu yakeWewe mpumbavu kazi yenu kutugawa wazanzibar mpate mtutawale milele kumbuka kwamba hamtafanikiwa WAKOLONI WEUSI
Hata wewe unaweza mmiliki nyumba DubaiHujawahi kusikia wanarudishwa kama wahamiaji haramu, hivi kuna mtu wa bara anaweza kumiliki ardhi zanzibar lakini wao wamepata fursa hiyo kupitia muungano hata huyo Seif anamiliki nyumba bara sasa kama faida zote hawazioni watoke kwenye muungano waone tofauti ya kuwa ndani na nje ya muungano.
Hakuna anayekutisha ila muungano ukivunjika kila mtu arudi kwao sanasana tutawalipa fidia tutakayoona inafaaWacha kututisha Wazanzibar wamezagaa dunia nzima na wanaishi Bakharesa ana viwanda ktk nchi zote za maziwa makuu wacheni ujinga
Nyinyi si ndio mmeolewa daini talaka tuwapeWaulize hao mwabwana zako wanaotungangania
Nenda Zanzibar kama utapewa ardhi ya kujengaHata wewe unaweza mmiliki nyumba Dubai
Kuna tofauti unapowekeza kama raia au mgeni, ukiwa raia kuna vitu vingi utapendelewa
Nenda Zanzibar kama utapewa ardhi ya kujenga