Maalim Seif ateuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuwa mgombea Urais Zanzibar

Haya CCM tafuteni mbinu nyingine. Rais wa kisiwa anayeungwa mkono na CHADEMA ndio hivyo kashapitishwa.
Tujiandae na serekali tatu za muungano.
 
Ali fight kiaina zile ruti za ulaya ila ndio hivyo tena..
 
Kumekucha hakuna kuweka mpira kwapani, Maalim Seif amepitishwa rasmi na Zec, pingamizi limetupwa.
Ww umetokea wapi? Ulipona corona?!!
Anyway jitahidi kuandika kwa utulivu acha harakaharaka
 
Yani ninavyoshabikia kushinda kesi za pingamizi utasema ngumi za dula mbabe na Twaha Kiduku. Mweh!
 
HABARI MPYA: Tume ya Uchaguzi
Zanzibar (ZEC), imemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi
Mkuu utakaofanyika 27 na 28 Oktoba
2020.
 
Isijekuwa mwishowe hapo 28/10 ikawa tena mapingamizi kizima. Huko ni kutangaza tu
 
Hua yanapima upepo kwanza......

Si unakumbuka hata Tundu Lissu yalimbeep..... Akasema Hakatwi mtu hapa
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ walikuwa wanabip sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…