Zanzibar 2020 Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

Zanzibar 2020 Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

Hiki kibabu najua hakina uwezo wa kushinda uchaguzi huu...ni vyema sasa kikapumzika na kisijali kitatunzwa vizuri.

Kura zote za ndio ni kwa Mwinyi upande wa Zanzibar na Magufuli kwa upande wa Muungano.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Thubutu ! Nyomi hiyo ni wachache? Umeambiwa kuwa idadi ya watu waliopo kwenye mkutano huo haijawahi kutokea Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa nchini au una miwani ya mbao? 😂 😂 😂
Wewe unaangalia nyomi.. Hata mimi nipo kwenye mkutano hapa lakini kura yangu haipati.
 
Dola imejaribu kutingisha kiberiti.... Maalim alivochimba mkwala tu asubuhi wakaona itakuwa kweli. Naskia wamepanga kuzima internet... kama lengo ni kuzuia habari kutoka nje zitatoka tu na watashangaa zinatokaje.
Hata wazime internet Mtalii wao hauziki wamwambie ukweli tu ili arudi zake Mkuranga
 
Tayari Dr Shein kisha type hotuba yake ya kumkabidhi Urais Hussein Mwinyi

Tayari Jaji Mkuu wa Znz kisha type kiapo cha Urais kwa kuandika kabisa jina la Hussein Mwinyi

Tayari meli ya kanga na tishert za kumpongeza Mwinyi ishatia nanga baharini

Hasara yote hiyo atalipa nani?
Hasara roho, pesa makaratasi! Hata mimi siku hiyo nililipa kesh, (kibanda umiza) Man U akapigwa 6, mashabiki wakatuzomea, wakati tunaenda nyumbani mvua ikatunyeshea chapachapa, alafu kufika home wife akazingua! Ilikua bonge la hasara, Lakini maisha yanaenda! CCM vumilieni tu!
 
Back
Top Bottom