Zanzibar 2020 Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

Zanzibar 2020 Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

Ase
Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze .

Ushahidi huu hapa

View attachment 1611523
View attachment 1611524

View attachment 1611525

Mikutano yake wengi ni wanawake ambao ndo wanamwamko mkubwa wa kupiga kura, huyu jamaa toka bara hachomoi kwa Kweli.
 
Mwinyi anatafuta laana ya kufa na kiharusi,mungu atampiga laana moja na uzee wake...analazmisha mwanae awe rahisi ili iweje.mzee mpumbavu sana hapaswi kuheshimiwa

Mzee Ruksa kalea mwanaye/watoto vizuri na wakawa na maadili mema, Sasa kama mwanao aliogopa umande achana na wivu! Mtoto wa mwezako/jirani yako ni mwanao.
 
Back
Top Bottom