Zanzibar 2020 Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

Hiki kibabu najua hakina uwezo wa kushinda uchaguzi huu...ni vyema sasa kikapumzika na kisijali kitatunzwa vizuri.

Kura zote za ndio ni kwa Mwinyi upande wa Zanzibar na Magufuli kwa upande wa Muungano.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Thubutu ! Nyomi hiyo ni wachache? Umeambiwa kuwa idadi ya watu waliopo kwenye mkutano huo haijawahi kutokea Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa nchini au una miwani ya mbao? 😂 😂 😂
Wewe unaangalia nyomi.. Hata mimi nipo kwenye mkutano hapa lakini kura yangu haipati.
 
Dola imejaribu kutingisha kiberiti.... Maalim alivochimba mkwala tu asubuhi wakaona itakuwa kweli. Naskia wamepanga kuzima internet... kama lengo ni kuzuia habari kutoka nje zitatoka tu na watashangaa zinatokaje.
Hata wazime internet Mtalii wao hauziki wamwambie ukweli tu ili arudi zake Mkuranga
 
Hasara roho, pesa makaratasi! Hata mimi siku hiyo nililipa kesh, (kibanda umiza) Man U akapigwa 6, mashabiki wakatuzomea, wakati tunaenda nyumbani mvua ikatunyeshea chapachapa, alafu kufika home wife akazingua! Ilikua bonge la hasara, Lakini maisha yanaenda! CCM vumilieni tu!
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Unaweweseka Wewe, Maalim Seif ni mwanachama na mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT - Wazalendo, zamani alikua CUF! CHADEMA inaingiaje hapo?!
 
Sijui uchaguzi huu atasusa tena km ule wa 2015?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…