Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
Siku ukija kupata akili nahisi utapata aibu sanaaToka 95 anatikisa ila wazanzibari wanamkataa kwenye boksi
Wasioipenda amani ya Zanzibar warudi omani
Hii ni unguja??Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze .
Ushahidi huu hapa
View attachment 1611523
View attachment 1611524
View attachment 1611525
Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze .
Ushahidi huu hapa
View attachment 1611523
View attachment 1611524
View attachment 1611525
Mikutano yake wengi ni wanawake ambao ndo wanamwamko mkubwa wa kupiga kura, huyu jamaa toka bara hachomoi kwa Kweli.Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze .
Ushahidi huu hapa
View attachment 1611523
View attachment 1611524
View attachment 1611525
ndioHii ni unguja??
Mwinyi anatafuta laana ya kufa na kiharusi,mungu atampiga laana moja na uzee wake...analazmisha mwanae awe rahisi ili iweje.mzee mpumbavu sana hapaswi kuheshimiwa