CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Hata mara ya kwanza haikuwepo....ikaja,ikaondoka.....kama imekuja tena tutapambana nayo kama awali.Waliitumia kama ngaz ya kupanda kisiasa.
Sasa wanaogopa kukubali kuwa ipo maana itachafua ile image waliyo ijenga mwanzo
Mala Corona haina dawa, mala wagonjwa wana pona! Mbona siwaelewi?Unawazungumzia watu waliopona, mbona huwasemi na waliokufa?
Corona inakuzwa!!! Hahaha subiri ikupate ndio utajua hujui.
Mra ya kwanza ilikuwepo. Even at one time serikali ilikiri. Baadae ndio wakaja kukanushaHata mara ya kwanza haikuwepo....ikaja,ikaondoka.....kama imekuja tena tutapambana nayo kama awali.
Tofautisha kukanusha na kusema ilikuepo ikaondoka. Now wamesisitiza watu waendelee kuchukuwa tahadhari.Mra ya kwanza ilikuwepo. Even at one time serikali ilikiri. Baadae ndio wakaja kukanusha
Nimjuavyo Maalim Seif atasema karogwa na ndiyo maana hajasema tahadhali ya niniHapo panajulikana kuwa amelenga corona.
Ngoja uugue kwanza tuone kama na wewe utapona au utakwenda moja kwa moja.Mimi nakwambia Corona inakuzwa sana.
Aliugua
Sallam alipona.
Aliugua mwana fa akapona
Aliugua Pierre akapona.
Ngoja uugue kwanza tuone kama na wewe utapona au utakwenda moja kwa moja.
Then why tunachukua tahadhari?Tofautisha kukanusha na kusema ilikuepo ikaondoka. Now wamesisitiza watu waendelee kuchukuwa tahadhari.
Itakua anaingia Twitter na VPN yakuponya nchi.Seif, unaingia Twitter kwa VPN gani?
Elewa wewe!!!Then why tunachukua tahadhari?
There is no need kuchukua tahadhari kama threat sio imminent.
Unachukua tahadhati sababu hatari ni imminent na ipo.Elewa wewe!!!
Kwani unapoweka net kitandani unakuwa una malaria au unajikinga usiyapate?
Na malaria si yapo tu?
Ukivaa condom unajikinga na nini?
UKIMWI upo,so lazima tuchukue tahadhari.
Kadhalika corona ipo......tuendelee kuchukuwa tahadhari.
Sasa wewe corona ipo au haipo?Unachukua tahadhati sababu hatari ni imminent na ipo.
Unaambiwa utumie neti ili usipate maleria.. means malaria ipo.
Unashauriwa utumie condom sababu ukimwi upo. Otherwise kusingekuwa na umuhimu wa condom.
Huwes kujikinga na adui hewa ambae hayupo. Utakuwa delusional.
Hahah kuna mahali nimetaka iwepo?Sasa wewe corona ipo au haipo?
Au unatanaka upigiwe ngoma ndo uelewe?
Kwani ulitaka tusichukue tahadhari?
Halafu unataka iwepo ili upate nini?
Jikinge ndugu yangu.
Ngoja tuingie kaziniMaalim anaendeleaje jamani? Maana huko twitter nako hakueleweki
UtujuzeNgoja tuingie kazini