Anza kwa kujisikia aibu kwa kuzaliwa na wazazi wa kitanzania.Watu wapuuzi kama nyie ndio mlitakiwa mchinjwe na Boko Haram sio wale wakulima wasio na hatia!...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kwa kujisikia aibu kwa kuzaliwa na wazazi wa kitanzania.Watu wapuuzi kama nyie ndio mlitakiwa mchinjwe na Boko Haram sio wale wakulima wasio na hatia!...
Nyie ni koloni letu wapuuzi wakubwa nyie, viongozi wanaamuliwa DodomaHarakat wazanzibar hawakuanza leo wee kenge tumepitia machungu mengi nyinyi siasa mumeanza jana hiyo CCM kuikataa mumeanza jana sisi Mtoto akizaliwa tuu tayari anajielewa tunajua tufanyalo tumepitia magumu mengi hatukuwahi kumsaliti Maalim au yy kuwasaliti wazanzibar
Hamna mjanja mbele ya chakula wewe, acha kujitoa ufahamu.Humjui Maalim ww wala huijui historia yake nikupashe kidogo
1- keshakuwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM tena ile ya Nyerere akasema...
Chakula?? Wazanzibar tunachojali niHamna mjanja mbele ya chakula wewe, acha kujitoa ufahamu.
siasa za kuua watu na kutia vilemaNdiyo maana ya siasa. Thanks Maalim Sief kwa ukomavu wa demokrasia ya kweli
Unawajua walioua na waliotia WATU vilema?siasa za kuua watu na kutia vilema
Sana! Na wao ndio washamba kabisa !Wanafiki wakubwa hao mkuu
Ahahahaha, umenichekesha sana mkuuSimtambui huyo kuku lakini Yai lake nalitambua 🙂 ! Au, hili yai silitambui ila kifaranga chake okay 🙃
Watanzania ,watanganyika na wazanzibar wanakatishwa tamaa na baadhi ya wanasiasa na maamuzi yao, hivyo wanaamua kuachana na mambo ya kufatilia Siasa!Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kesho Disemba 8 atamuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad...
ZANZIBAR ni TAIFA kama TAIFA jengine lolote juwa hivyo kuanzia leoKumbe Zanzibar ina katiba yake, then kuna Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Huu Muungano huwa unachanganya mazee,
ACT kuamua kuingia ktk GNU ni faida kubwa KWA harakati za kuikomboa ZANZIBAR tunampongeza Maalim na Cc ya ACT kwa hatua hiiWatanzania ,watanganyika na wazanzibar wanakatishwa tamaa na baadhi ya wanasiasa na maamuzi yao, hivyo wanaamua kuachana na mambo ya kufatilia Siasa!..
Wazanzibar hawakuwahi kunyamazishwa hii ngoma BADO iko mbichi sisi si Wadanganyika wa TanganyikaAmenyamazishwa, Amepoozwa, Amezibwa mdomo, Amenyweaaa
Tatizo vikauli vyenu kabla ya kuunga jihudi huwa finafikirisha ... then wewe unajitahidi kutuaminisha kuwa Maalim ameangalia kwa maslahi mapana ya Zanzibar, Vipi Ukhanithi ameukubali tena ?Koloni la mama yako nyinyi ni washenz tuu huku ZANZIBAR mlikua mkija kutulimia mashamba yetu nyinyi kina MASANJA
Na kama si Mzee Mwinyi mpaka leo TELEVISION ingelikua bado msamiati kwenu shenz weeeee
Sijakuelewa ZZK umekubaliana kula makombo ya ugali waliokunyima wenzio halafu msimamo wako eti hutambui kwamba Kulikuwa na ugali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muungano mnauita nyinyi sisi tuliingia na article 11 moja tuu ktk huo mnaouita Muungano hizi ni njama la Taifa MOJA kutaka kulitawala Taifa jengine KISIASA KIJESHI NA KIUCHUMIHivi Kama unao muungano halafu nchi moja Kati ya zinazounda huo muungano iko na Katiba yake, wimbo ake wa Taifa. Tunaitaje Muungano? Najiuliza ila majibu magumu