Maalim Seif kuapishwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi

Maalim Seif kuapishwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi

Harakat wazanzibar hawakuanza leo wee kenge tumepitia machungu mengi nyinyi siasa mumeanza jana hiyo CCM kuikataa mumeanza jana sisi Mtoto akizaliwa tuu tayari anajielewa tunajua tufanyalo tumepitia magumu mengi hatukuwahi kumsaliti Maalim au yy kuwasaliti wazanzibar
Nyie ni koloni letu wapuuzi wakubwa nyie, viongozi wanaamuliwa Dodoma
 
Humjui Maalim ww wala huijui historia yake nikupashe kidogo

1- keshakuwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM tena ile ya Nyerere akasema...
Hamna mjanja mbele ya chakula wewe, acha kujitoa ufahamu.
 
Hamna mjanja mbele ya chakula wewe, acha kujitoa ufahamu.
Chakula?? Wazanzibar tunachojali ni
HESHIMA YETU
UTU WETU
NCHI YETU

Kama chakula kingetubadilisha tungebadilika Zama hizo na si leo
 
Kumbe Zanzibar ina katiba yake, then kuna Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Huu Muungano huwa unachanganya mazee,
 
Amenyamazishwa, Amepoozwa, Amezibwa mdomo, Amenyweaaa
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kesho Disemba 8 atamuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad...
Watanzania ,watanganyika na wazanzibar wanakatishwa tamaa na baadhi ya wanasiasa na maamuzi yao, hivyo wanaamua kuachana na mambo ya kufatilia Siasa!

Niwakumbushe tu ndugu zangu, sukari tunayokorogea Hot beverage ni siasa, mafuta tunayoweka kwenye automobile ni siasa, beer na condom tunazotumia ni siasa!

Tusiache, tuendelee kujadili SIASA, siasa ni maisha.
 
Kumbe Zanzibar ina katiba yake, then kuna Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Huu Muungano huwa unachanganya mazee,
ZANZIBAR ni TAIFA kama TAIFA jengine lolote juwa hivyo kuanzia leo
 
Watanzania ,watanganyika na wazanzibar wanakatishwa tamaa na baadhi ya wanasiasa na maamuzi yao, hivyo wanaamua kuachana na mambo ya kufatilia Siasa!..
ACT kuamua kuingia ktk GNU ni faida kubwa KWA harakati za kuikomboa ZANZIBAR tunampongeza Maalim na Cc ya ACT kwa hatua hii

MAPAMBANO YANAENDELEA
 
Amenyamazishwa, Amepoozwa, Amezibwa mdomo, Amenyweaaa
Wazanzibar hawakuwahi kunyamazishwa hii ngoma BADO iko mbichi sisi si Wadanganyika wa Tanganyika
 
Koloni la mama yako nyinyi ni washenz tuu huku ZANZIBAR mlikua mkija kutulimia mashamba yetu nyinyi kina MASANJA
Na kama si Mzee Mwinyi mpaka leo TELEVISION ingelikua bado msamiati kwenu shenz weeeee
Tatizo vikauli vyenu kabla ya kuunga jihudi huwa finafikirisha ... then wewe unajitahidi kutuaminisha kuwa Maalim ameangalia kwa maslahi mapana ya Zanzibar, Vipi Ukhanithi ameukubali tena ?
 
Hivi kama unao muungano halafu nchi moja Kati ya zinazounda huo muungano iko na Katiba yake, wimbo ake wa Taifa. Tunaitaje Muungano??? Najiuliza ila majibu magumu
 
Kwa mustakbal mpana wa Zanzibar.
Hongera Maalim Hongera Mwinyi.
 
Hivi Kama unao muungano halafu nchi moja Kati ya zinazounda huo muungano iko na Katiba yake, wimbo ake wa Taifa. Tunaitaje Muungano? Najiuliza ila majibu magumu
Muungano mnauita nyinyi sisi tuliingia na article 11 moja tuu ktk huo mnaouita Muungano hizi ni njama la Taifa MOJA kutaka kulitawala Taifa jengine KISIASA KIJESHI NA KIUCHUMI
 
Back
Top Bottom