johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umeshapanic!Umeandika kama upo kwenye Joto.....
Hayo ni mawazo yako bwashee!yaani hapo ndiyo hata kura zao zitasahaulika kuhesabiwa wanaweka vitu gani hivyo?
Nimekunywa kisusio bwashee!Umekunywa chai mkuu?
hapana hawawezi kutuletea takataka hizo kugombea huyo ka znz tu kamemshinda je huku?Hayo ni mawazo yako bwashee!
Yaani hichi ndicho mlichokaa siku nzima ya jana mkijadiliana huko lumumba?Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT.
Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu.
Godbless Lema naye anatajwa kuhamia jimbo la Hai ambako ni nyumbani kwao kugombea ubunge na akishinda anaweza kuteuliwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani na Naibu Waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Augustini Lyatonga Mrema enzi za Mwinyi.
Safari hii bendera itakayopeperushwa ni ya ACT wazalendo.
Endeleeni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
Maendeleo hayana vyama!
Kwani maalim Seif atagombea kupitia CCM?!!!!.......... Acha kukariri bwashee!Maalim syo mkristo awamu yake bdo kwa jmt, kwa hyo tetes zako feki
Safi sanaTundu Lisu kugombea urais, Maalim Seif mgombea mwenza, Mbowe ubunge Moshi Mjini, Lema ubunge Hai.
toa maonikwa waliotajwa kwenye uzi dadaSafi sana
Hiyo ndio Ukawa mpya bwashee!Yaani hichi ndicho mlichokaa siku nzima ya jana mkijadiliana huko lumumba?
Membe hana akili za kilowasalowasa bwashee.......... Mtasubiri sana!Njaa ya buku7 inakufanya kuwa mwehu kila siku.
Hapo Lumumba mnazidi kuweweseka mapema Sana na tetesi Zenu za kishamba.... mwambieni magufuli ikifika October ajiandae kupambana na MEMBE ndani ya chama chenu,huku Kwa akina maalim seif mtapata pressure bureee