Tetesi: Maalim Seif kugombea urais wa JMT, Mbowe mgombea mwenza Zitto Waziri Mkuu mtarajiwa; Lema kugombea Ubunge Hai

Tetesi: Maalim Seif kugombea urais wa JMT, Mbowe mgombea mwenza Zitto Waziri Mkuu mtarajiwa; Lema kugombea Ubunge Hai

Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT.

Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu.

Godbless Lema naye anatajwa kuhamia jimbo la Hai ambako ni nyumbani kwao kugombea ubunge na akishinda anaweza kuteuliwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani na Naibu Waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Augustini Lyatonga Mrema enzi za Mwinyi.

Safari hii bendera itakayopeperushwa ni ya ACT wazalendo.

Endeleeni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini

Maendeleo hayana vyama!
Asante kwa kutufurahisha asubuhi hii ! Ze Comedy show 🙃 !
 
Njaa ya buku7 inakufanya kuwa mwehu kila siku.
Hapo Lumumba mnazidi kuweweseka mapema Sana na tetesi Zenu za kishamba.... mwambieni magufuli ikifika October ajiandae kupambana na MEMBE ndani ya chama chenu,huku Kwa akina maalim seif mtapata pressure bureee
Hakika wewe ni kichaa. Magufuli atapambana vipi na membe october ndani ya ccm? Jinga kabisa. Au hujui mchakato wa kupata mgo.bea urais ni wakati gani? Pumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT.

Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu.

Godbless Lema naye anatajwa kuhamia jimbo la Hai ambako ni nyumbani kwao kugombea ubunge na akishinda anaweza kuteuliwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani na Naibu Waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Augustini Lyatonga Mrema enzi za Mwinyi.

Safari hii bendera itakayopeperushwa ni ya ACT wazalendo.

Endeleeni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini

Maendeleo hayana vyama!
kwa taharifa hii CCM hapo mav'''i yatakuwa yakiwangonga katika pichu na kurudi kwa jinsi wanavyo muogopa mh. seif, na iwe ivyo
 
Mnamhujumu Mello kwa kupost upupu ili watu wenye welewa mzuri walipuuze jukwaa hili
 
Umekurupuka umetunga pumba zako huko na bahati nzuri siku hizi watanzania wengi tuna makao yetu mitaondaoni huwezi kosa wachangiaji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom