Tetesi: Maalim Seif kugombea urais wa JMT, Mbowe mgombea mwenza Zitto Waziri Mkuu mtarajiwa; Lema kugombea Ubunge Hai

Huyu ndio buku 7 fc anayelipwa hela nyingi kuliko wenzake ! Poor ccm !
 
KWa tume hii ya ccm. Wanapoteza muda wao
 
Wale wenye mawazo ya udini na ukabila kupata kura kwa safari hii watapata shida sana maana watanzania wanataka kurudi kwenye umoja wao ,tuitane ndugu badala ya waheshimiwa,,tugawane maendeleo yaliyo sawa kwa watanzania wote bila ubaguzi,tunataka wale wenye upendo na kuondoa chuki AMINA
 
Wakati juzi juzi tu hapa Maalim katangaza atapambana na CCM zenji 2020
 
No bora uote uko unachakata . Kuliko kuota utumbo kama huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maalim kugombea Zanzibar na kumchakaza kwa mara ya nne mgombea wa ccm.Hili halina ubishi.
 
Bila shaka Mzee Mgaya ana la kusema kuhusu Mnyika kuachwa nafasi za juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…