Tetesi: Maalim Seif kugombea urais wa JMT, Mbowe mgombea mwenza Zitto Waziri Mkuu mtarajiwa; Lema kugombea Ubunge Hai

Lala uote tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto Kabwe Waziri Mkuu, Lema Waziri wa Mambo ya ndani 🤣🤣🤣🤣🤣 Kiukweli Upinzani vichwa vimesafiri vimeacha kiwiliwili na akili 😎😎😎😆😆.
Zitto ameshindwa kujiongoza anataka amuongoze nani. Kumbuka Leo Asubuhi alikuwa Chocho flani akiwabembeleza Madiwani wamsamehe Meya.
Huyu anaweza kuongoza Serikali, huuu ni utani
 
Hahahaaaa....... Mbona aliweza kuongoza Daruso!
 
Kuelekea uchaguzi tetesi ni nyingi. Wengine wanadai kuwa:
Lissu ndiye atagombea urais wa JMT.
Lema ni palepale Arusha,
Mbowe ni paleale Hai,
Maalim ni palepale urais wa Zanzibar, na
Zitto ni palepale Kigoma mjini.
 
Kuelekea uchaguzi tetesi ni nyingi. Wengine wanadai kuwa:
Lissu ndiye atagombea urais wa JMT.
Lema ni palepale Arusha,
Mbowe ni paleale Hai,
Maalim ni palepale urais wa Zanzibar, na
Zitto ni palepale Kigoma mjini.
Mtu aliyefukuzwa ubunge na Spika kwa kupungukiwa uadilifu hawezi kupitishwa na NEC kugombea urais!
 
Mkuu kweli unahangaika kuwapangia safu wakati hivyo vyama vilikwisha kufa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Lema kipanga apewe internal affairs?,its a very big joke
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let the vote count. The rest is irrelevant to the people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…