Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

Pole dear ni vizuri ukaongea nae ukamweleza ukweli uone kama atabadilika au hatabadilika, ukiona habadiliki unaweza kuchukua maamuzi yako magumu.
 
kabila gani huyoo?
 
Pole sana...

Ila tungesikia na upande wa jamaa yako ana kipi cha kulalamika kuhusu wewe, ungepata ushauri ulio bora kabisa...


Cc: mahondaw
 
Labda atakusikia lakini sometimes nahisi anaftahisha genge
 
Labda atakusikia lakini sometimes nahisi anaftahisha genge
Watu watashindwa kukusaidia kwa tabia zako, kama anachosema ni kwel bas afanye maamuz thabiti ila kama anachangamsha genge kuna siku atakuja na issue serious na watu wata generalize kuwa ameleta chai as usual!![emoji46]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake wana magumu wanayopitia daaaaah we dada tulia kwa mumeo,kwanza wazazi wake wamemsomesha kwa shida ngoja angalau awawekee wazazi wake hata kaumeme ka REA .yaani ukiolewa na mume msomi au mwenye mafanikio chunguza kwanza familia yao halafu uchukue maamuzi,sasa aache kuweka mazingira vizuri kwao ajenge kwenu eeee,kazi bado anayo atakuwekea miradi mikubwa hadi uchoke,tatizo wanawake matung'ang'aniza tutekeleze majukumu yasiyo muhimu,mnatutekelezesha anasa,unakula?ndiyo,nguo za kuvaa zipo?ndiyo ,chakula kipo sasa tununue manguo then zimejaa tunaongeza kabati huu ni upuuzi!!!!!tujenge uwezo kwanza anasa baadae, mwanamke anang'ang'aniza vitu kama vile ndo'nimestaafu na ajira ndio basi,kina dada zetu acheni hizo tuhurumie wazazi wetu na ndugu zetu walipata shida kutusomesha hadi mmetuona wazuri na wasomi sasa mtulie angalau tulipe fadhila kidogo kwa wazazi na ndugu,mambo ya kukimbizia fashion tupa mbali au wewe uondoke zako siyo kutiana stress
 
Pole mwaya.

Achana nae tu mpendwa.
Hahahha hivi unafikili rahisi je yupo tayari kuachana nae? Na anayeamua kuachana na mumewe au mke hawezi kuleta thread anafanya maamuzi yake kimya kimya unafanya mchezo na kuachana.

Huyu mwanaume ni mbinafsi hii tabia hajaiona toka wapo wachumba mana tabia ya mtu haijifichi bwana
 
Umesema ni Kabila gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Usirudi nyuma dada achana nae tu. Hutuweza kuishi kwa amani kwake kabisa huyo.
 
Miaka 5 unalalamika kuhusu mume wako, na bado hujapata suluhisho. Mzazi mwenzaKo katangulia mbele za haki, Hii inamaanisha wewe ndio kila kitu kwa mwanao, meaning inabidi uwe na kipato kinachoeleweka ili mwanao asome na kupata maHitaji yake Muhimu. Sasa hata kumuhudumia mwanao huwezi, ukijua wazi kua wewe ndio kimbilio lakE baada ya kumbwaga kwa bibi, Mume hakuPi choChote, ila bado upo tu miaka nenda miaka rudi unalalAmika tu humu ndani. Nilichogundua kua wewe ni FALA, tena FALA asiejielewa.. Najua nimekukwaza ila bora nikukwaze labda ndio ubongo utaamka.. Nasema Tena wewe ni FALA, nimemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…