Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

Istoshe zijasema hanipi matumiz ya mtoto ...mzazi mwenzangu keshatangulia mbele za haki
Mwanangu yupo kwa mama angu kanikuta nina biashara zangu namsomesha mtoto wangu medium lkn Sasa nimeolewa nimeacha biashara Sina kipato chochote mtoto namleaje?

Ni kama nakumbuka uzi wako mmoja uliohusu mmeo kununa kwa sababu ya yeye kukuhoji mapato ya duka lako la dawa na wewe ukahoji salary yake. I feel like you are really in stress.

My sister, tatizo la mmeo sio rahisi kulimaliza. He seems conservative and cntred to his own thinking. Otherwise, hamisha duka lako ili uwe nalo karibu ili uendelee kupambana mwenyewe AU mvumilie.

It is bad to divorce, I hate that...Otherwise, divorce and contain all the risk that will arise thereafter.
 
Hapana huo uzi uliotaja sio wa huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

yaan au watengane..wajiskilizie baadaye warudiane wakijikosoa
 
Sepa haraka sana wala usipoteze muda na hiyo faini wala isikuumize kichwa. Wanaume wengine wa ajabu sana! Duh! Kwanini unaamua kuoa? Si ubaki bachelor tu? 😳

 
Ndo umeamua kuja kunuanika huku?? Jiandae kichapo cha mbwa koko!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…