Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Endelea hivyo hivyo boss chonde chonde usituumbueNajitahidi kulinda identity na kulinda sheria za jf na KUHESHIMU watu, vinginevyo hali ya hewa ingechafuka juzi[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea hivyo hivyo boss chonde chonde usituumbueNajitahidi kulinda identity na kulinda sheria za jf na KUHESHIMU watu, vinginevyo hali ya hewa ingechafuka juzi[emoji16]
Jamani siyo wewe ni byeyomboUtani huo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe ni malaika! Libarikiwe Tumbo lililokuzaa!! Aiseee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]watabiri bhana hamuwazagi positive hata siku moja.
Nimejaribu kusapoti jamii mara kadhaa.
Nimewahi sapoti mama mmoja wakati wa uzazi mwanzo mwisho hadi alipoweza kujitegemea kibiashara...alikimbiwa na mume na msaada ulikuwa unapitia mtu mwingine na hakujua anayemsapoti hadi baadae sana.
...Nimesapoti mabinti 2 kusoma hadi chuo kikuu bila kutaka hata ukaribu bali kulipa ada zao tu tena nimeanza nikiwa kijana mdogo.
Katika hili sina wasiwasi ninachoomba ni afya njema.
Sifungwi na sijaahidi kufanya makubwa kupita uwezo wangu bali sawa na uwezo atakao nipa Mungu.
Sawa tunashukuru [emoji16]Mwiko, sitathubutu.
Niliwahi kuumizwa humu na vibaka flani lkn nilijitahidi kutokunyanyua mdomo, sembuse hili dogo hivi...relax kabisa tena hata ukitukana nitakupuuzia tu
Tangu nikiitwa nani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sinaga bifu na wewe ninakuheshimu siku zote tangu ukiitwa flani bibie[emoji8]
Mkuu malaika ni watumishi wetu lakini ni watakatifu.
Usinipe cheo hicho mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hilo mbona la juzi tuJamani jamani...la juzi ni sijui Mishihl???[emoji28]
Limepwaya hili au la Mishil?Nami nimesema juzi...ulipobadili lilipwaya[emoji16][emoji16]
Mishihil, kidogo nikutongoze....ulikuja kwa kasi na id ni mpya nikashtuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Limepwaya hili au la Mishil?
Mimi kwani nilikuwa najiona mpya? Kwanza nilikuwa nasahau muda mwingine kuwa nimebadilika[emoji1787][emoji1787] baadae nikaona isiwe tabu acha nirudi tu nyumbaniMishihil, kidogo nikutongoze....ulikuja kwa kasi na id ni mpya nikashtuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila mtu alikuwa anajiuliza huyu mbona id mpya lkn anaonekana mzoefu?
Nikaingia chimbo nikakugundua
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nakumbuka nilikwambia hili jina sio, na pm tulibonga lakini..Mimi kwani nilikuwa najiona mpya? Kwanza nilikuwa nasahau muda mwingine kuwa nimebadilika[emoji1787][emoji1787] baadae nikaona isiwe tabu acha nirudi tu nyumbani
Boss nisome vizuri;
My concern ni mtoto asiye na hatia.
Nakuapia hata nikute huyo binti analiwa muda huu wala sijali.
Msaada sio mahari eti nikimilikishe.
Mimi nina pis yangu inayonitosha, huyo binti naye ana nyeg..zake lazima akate kiu.
Baba wa mtoto akijitokeza nitafurahi kwani mtoto atapata malezi bora.
Huyu nikimtunza, ninamsaidia Mungu tu kumtunza nothing else.
Nikuulize wewe una watoto?
Umewatoa wapi?
Hakuna mwenye mtoto bali sisi ni walezi ndio maana wakikua wanachagua aina ya maisha yao, kuoa au kuolewa na wawatakao na sio wewe mzazi/mlezi uwachagulie.
Wanaume tubadilike...mnalea wengi mno na ni nyege za wenzenu lkn mnapiga vifua ni wanenu.
Mimi najitoa kulea wa mwenzangu...upo?
Khantwe
luckyline
Mmh hivyo eeh? Mbona sikumbuki kama tumewahi kupiemiana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nakumbuka nilikwambia hili jina sio, na pm tulibonga lakini..