Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Endelea hivyo hivyo boss chonde chonde usituumbue
Mwiko, sitathubutu.
Niliwahi kuumizwa humu na vibaka flani lkn nilijitahidi kutokunyanyua mdomo, sembuse hili dogo hivi...relax kabisa tena hata ukitukana nitakupuuzia tu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]watabiri bhana hamuwazagi positive hata siku moja.
Nimejaribu kusapoti jamii mara kadhaa.
Nimewahi sapoti mama mmoja wakati wa uzazi mwanzo mwisho hadi alipoweza kujitegemea kibiashara...alikimbiwa na mume na msaada ulikuwa unapitia mtu mwingine na hakujua anayemsapoti hadi baadae sana.
...Nimesapoti mabinti 2 kusoma hadi chuo kikuu bila kutaka hata ukaribu bali kulipa ada zao tu tena nimeanza nikiwa kijana mdogo.
Katika hili sina wasiwasi ninachoomba ni afya njema.
Sifungwi na sijaahidi kufanya makubwa kupita uwezo wangu bali sawa na uwezo atakao nipa Mungu.
Wewe ni malaika! Libarikiwe Tumbo lililokuzaa!! Aiseee
 
Mwiko, sitathubutu.
Niliwahi kuumizwa humu na vibaka flani lkn nilijitahidi kutokunyanyua mdomo, sembuse hili dogo hivi...relax kabisa tena hata ukitukana nitakupuuzia tu
Sawa tunashukuru [emoji16]
 
Limepwaya hili au la Mishil?
Mishihil, kidogo nikutongoze....ulikuja kwa kasi na id ni mpya nikashtuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila mtu alikuwa anajiuliza huyu mbona id mpya lkn anaonekana mzoefu?
Nikaingia chimbo nikakugundua
 
Mimi kwani nilikuwa najiona mpya? Kwanza nilikuwa nasahau muda mwingine kuwa nimebadilika[emoji1787][emoji1787] baadae nikaona isiwe tabu acha nirudi tu nyumbani
 
Mimi kwani nilikuwa najiona mpya? Kwanza nilikuwa nasahau muda mwingine kuwa nimebadilika[emoji1787][emoji1787] baadae nikaona isiwe tabu acha nirudi tu nyumbani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nakumbuka nilikwambia hili jina sio, na pm tulibonga lakini..
 
Boss nisome vizuri;
My concern ni mtoto asiye na hatia.
Nakuapia hata nikute huyo binti analiwa muda huu wala sijali.
Msaada sio mahari eti nikimilikishe.
Mimi nina pis yangu inayonitosha, huyo binti naye ana nyeg..zake lazima akate kiu.
Baba wa mtoto akijitokeza nitafurahi kwani mtoto atapata malezi bora.
Huyu nikimtunza, ninamsaidia Mungu tu kumtunza nothing else.

Nikuulize wewe una watoto?
Umewatoa wapi?
Hakuna mwenye mtoto bali sisi ni walezi ndio maana wakikua wanachagua aina ya maisha yao, kuoa au kuolewa na wawatakao na sio wewe mzazi/mlezi uwachagulie.
Wanaume tubadilike...mnalea wengi mno na ni nyege za wenzenu lkn mnapiga vifua ni wanenu.
Mimi najitoa kulea wa mwenzangu...upo?
Khantwe

luckyline

nilichogundua wewe unafurahisha umma ila uhalisia unao moyoni mwako inawezekana unachojibu hapa ni tofauti na uhalisia wa mambo !

je utafanya hayo kwa huyo tu au una mpango wa kufanya na kwa mwingine ikitokea ???
 
Back
Top Bottom