Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
- Thread starter
- #481
Ungepitia post zangu humu ndani usingeuliza swali hili.nilichogundua wewe unafurahisha umma ila uhalisia unao moyoni mwako inawezekana unachojibu hapa ni tofauti na uhalisia wa mambo !
je utafanya hayo kwa huyo tu au una mpango wa kufanya na kwa mwingine ikitokea ???
Naomba nisikupe umuhimu kivile, asante kwa kujaribu