Maamuzi ya Hayati Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266

Mh. Tundu Antiphas Lissu aliposhauri namna nzuri ya kuachana na hao watu na hivyo kuepuka mambo kama haya aliitwa msaliti na kuambulia risasi 30 mwilini. Yapo maamuzi ya kijinga na matokeo yake ndio kama haya...mtaikumbuka MIGA na bado!
Hawa jamaa ni wanafiki sana siku hizi siisikii wa kimuita mzee MIGA kwasababu muda unaongea,Lisu anaenda kuwa Rasi wa kwanza kutoka upinzani wananchi tumejigunza mambo mengi kutoka kwake.
 
Hii issue ya bandari imenifungua macho kwanini Serikali inashindwa hizi kesi.
 
We kweli mwabudu maiti.
Yaani kwako Magufuli ni kama Mungu wako vile...
 
Tatizo Lako hufikirii inje ya box. . Magufuli ndiye aliyeingia Mkataba wa kifala Hivyo.?

Bora tulipe hizo pesa kuliko kuendelea kukamuliwa. Hata Bandari mkisaini kuna Mzalendo atatokea ataufyekelea mbali
 
Mh. Tundu Antiphas Lissu aliposhauri namna nzuri ya kuachana na hao watu na hivyo kuepuka mambo kama haya aliitwa msaliti na kuambulia risasi 30 mwilini. Yapo maamuzi ya kijinga na matokeo yake ndio kama haya...mtaikumbuka MIGA na bado!
Namna nzuri ipi ya kuachana na mkataba mbovu ambao tayari ulishasainiwa?

Kuna namna gani ya kukwepa kulipa fidia unapovunja mkataba uliosainiwa, ili kukwepa gharama ambayo Lissu alimshauri Magufuli?

Mkiona jina Magufuli huwa akili zenu zinaganda kufikiri!.

Kama kwako afadhali tuendelee kuishi kwenye mikataba ya kinyonyaji inayotudhalilisha kama taifa, kwangu afadhali ivunjwe ili kulinda heshima yetu hata kama tutadaiwa na dunia yote.
 
Magufuli alipora uchaguzi akajaza wabunge wa CCM kwa kisingizio kuwa ni wazalendo. Mbona hatuoni hao wazalendo wakifanya uzalendo wao? Kibaya zaidi ndio hao wanapelekewa bill ya kubadili hizo sheria walizotunga wenyewe.
 
Sawa mkuu hizi pesa mkalipe ccm au tuuze mali zenu tulipe madeni.
 

Mawakili wa serikali wamelemazwa na mahakama dhaifu za humu ndani, ambapo mahakama zinapewa maelekezo ya namna ya kuamua kesi.
 
Wengi wao wakiona jina Magufuli huwa akili zao zinaganda, hazifanyi kazi tena.
 
Heshima ya kipumbavu hiyo
 
Tabia za mawakili wa serikali kushindwa kesi kwa makusudi zimeanza tena...hizi kesi ndo zilizompa utajiri Nimrodi...
 
Nani CCM wewe, tembea na hoja tu...
Hakuna hoja zaidi ya gharama hii pesa ya kulipa wawekezaji kwamaamuzi mabovu ya kuingia mikataba na kuchukua 10% baada ya muda ccm wenyewe mkavunja ili kutafuta muwekezaji mpya ili mpige 10% mpya kwa huu dalali tuambie hii kwa huu ujinga hii pesa inatoka chama gani chadema Chauma au ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…