Maamuzi ya Hayati Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266

Maamuzi ya Samia yatatugharimu zaidi ya miaka 100 ijayo kwa kuuza bandari yetu kwa waarabu wajomba zake.
Mkuu atatokea Raisi mwingine ataivunjilia mbali mikata ya nyinya damu.
 
Kwanza huo mkataba wa ovyo hakuingia Magufuli, pili bora tulipishwe hiyo amount kuliko madini kuchotwa milele. Kulipishwa fidia sio mara zote ni hasara mfano hatujui investment iliyokwishafanyika.

Hizo tunazolipa ni gharama za uzembe wa mikataba ya ovyo. Acha tule hasara kwa ujinga wetu. Mbaya zaidi usikute kuna Watanzania "wazito" walikuwa na shares mlango wa nyuma.

Imagine Nachingwea Nickel ltd iko incorporated huko UK! Michongo tu ndio maana mzilankende akaona aifyatue miradi irudi kwa umma kwanza.
 
Kwani unasema tulipishwe mimi nilikuepo wakati mnachukua 10% nakuanguka sahihi?
 
Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) kimeiamuru Tanzania kulipa dola milioni 109.5 [TZS bilioni 266] kwa kampuni za uchimbaji madini zilizosajiliwa Uingereza, Ntaka Nickel Holdings Ltd na Nachingwea UK Ltd, kufuatia uamuzi uliochukuliwa wakati wa utawala wa Hayati Rais Dkt. John Magufuli mwaka 2018 wa kufuta leseni yao ya uchimbaji wa madini ya nikeli.

Kampuni hizo zilifungua kesi na kufanikiwa kuishinda Tanzania katika mahakama ya Benki ya Dunia kwa kukiuka wajibu wake chini ya Mkataba wa Uwekezaji wa Pamoja (BIT) kati ya Uingereza na Tanzania na sheria za kimataifa kwa kutaifisha leseni hiyo.

Tanzania pia imeamriwa kulipa dola milioni 3.859 [TZS bilioni 9.3] kama gharama za kisheria kwa walalamikaji, pamoja na ada na gharama za ICSID.
 
Ukimjua aliyeingia huo mkataba ndiyo utajua ukweli.
Huo mkataba aliingia magufuli au mtu mwingine?
 
Kila mmoja anaona akiushtaki serikali wanashinda ,lazima wajitokeze wengine
 
Sawa mgodi ukirudishwa kwa umma nani alipe hizo hii amount? Je unaakika gani kama huu godi hatapewa mtu mwingine kwa mkataba mbovu zaidi ya huu uliovunjwa?
 

Hapo waTanzania wote tupasome vizuri na kupaelewa ina mguso gani kwa serikali ya Tanzania isipoheshimi maamuzi ya ICSID
 
Magufuli alipora uchaguzi akajaza wabunge wa CCM kwa kisingizio kuwa ni wazalendo. Mbona hatuoni hao wazalendo wakifanya uzalendo wao? Kibaya zaidi ndio hao wanapelekewa bill ya kubadili hizo sheria walizotunga wenyewe.
Kweli huna akili lisu hakuwa na uwezo wa kupata kura nyingi dhidi ya Magufuli.
 
Ameitia hasara nchi,kubwa sana
 
Wakulaumiwa ni aliyevunja,sio aliyetengeneza.
 
Hapa aliyevunja ndio kaharibu.
 
Aliyeingiza nchi hasara ni aliyeingia huo mkataba mbovu.tumia akili
 
Usikute hata hilo deni kuna asilimia za Watu. Mdai anasema mia, wengine wa dili wanamwambia sema mia tano. Ikilipwa yangu mia mbili ingine yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…