Maamuzi ya Hayati Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266

Wanalinda ujinga tu
 
Huyo jaama kuna kito aliwekeza cha maana au ni kama yule wa bagamoyo tu amekaa hapo bila kuendeleza shamba
 
Kwanza tujue huo mkataba ni wa hovyo kivipi? Ikiwa kulikuwa na uzembe, sheria inaruhusu wahusika wote kuchangia kulipa fidia inayodaiwa?
 
Ujinga mtupuuu, mbona hayo hayakuwepo wakati yeye yupo Hai??.


Sema Serikali ya Samia ,ni legelege, mbovuuu
Huu ndo ukweli serikali imeshaakuwa shamba la bibi .ni kama mwanamke Malaya kila mwanaume anayejaribu kurusha ndoana inanasa lazima wajitokeze tu vidume kila siku kula uroda
 
Hivi kweli kuna serikali inashindwa kubifadhi madoni mpaka umpatie mtu wa nje?Nchi ilistahili kuvunja huo mkataba kwa gharama yoyote.Hii milataba iliingiwa na serikali ya kikwete wakqti wa vuguvugu la uchaguzi uliomwingiza Magufuli mqdarakani
 
Mh Lissu alisema akaishia kumiminiwa risasi na Mungu akaamua kuinusuru nchi na shida zaidi.
 
Usalama wa Taifa wapo Kwa ajili ya kuwathibiti Chadema tu
 
Umekosea kuandika kichwa Cha Uzi wako ungeandika hivi

Maamuzi ya hayati Magufuli ya kuvunja mikataba mizuri yenye tija Kwa Taifa tuliyoingia na wawekezaji wazungu yaigalimu Tanzania
 
Kweli kabisa hata ule wa acacia tuliubomoa..magufuli aliushindwa ule wa gesi tu ya mtwara. Lakini ipo siku angeubomoa pia. Haiwezekani sie tutumie 20% ya gas halafu nyingine iende nje kutajirisha wao.
 
Wanaomdanganya ni hao tyss wenyenyewe!!!
 
Sasa kama Taifa tufanye nini kuondokana na haya madhila?
 
Maamuzi sahihi...

Yana gharama zake sababu waliofanya mikataba walishaharibu so kuitengua ilikuwa na gharama zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…