Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ni ya pamoja.... Binafsi nilikuwa nataka wanne, lakini mwenzangu alitaka wawili ... Tukafikia watatu na ndo tunao
Vizuri.

Na sijui kwanini mara nyingi wanaume ndio huwa wanahitaji idadi kubwa ya watoto[emoji1745][emoji1745]
 
Yeah anajibugi ki biblia zaidi.

Kwani 4G LTE hajaona huu Uzi Dada ? Au hii mada haiwahusu wanaume wa Mpakani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa mpakani tuwasamehe tu mama maana hata huyo mmoja ni shughuli hivyo maamuzi wanayo wanawake.
 
Uzuri kipenzi changu Khantwe ameshakubali tuunde kikosi kazi basi halina shida hilo. Mwendo utakuwa kupishanisha mwaka mwaka ili machalii waende sawa.

Babu alipiga 6, mzee 4 mimi niishie 2? Ukoo umepungua sana Haitafaa!!! Nitaongeza 6 wawe 8 tu hamna namna.
 
Kuzaa kunamfanya mwanamke achoke Mkuu??

Sidhani, mwanamke akiwa na nidhamu ya kula na mazoezi toka akiwa na mimba mpaka kujifungua hata azae watoto 4 shape inabaki pale pale.
 
@khantwe huyuhuyu wa Kaboom[emoji134][emoji134]
Sasa atawazalia wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…