Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Lizarazu nae kiboko
 
Hahaa naomba nimuone huyo mtembea kama robot
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki siku ya kwanza namuona alivyorudi nilicheka hatari. Nilimtania wiki nzima.
 
Anaepanga ni mwanaume naomba hii ileweke yeye ni kichwa cha familia ni kiongozi anakubadilisha ubini amekutolea mahari we ni Mali yake huwezi mpangia mtu na matumizi ya Mali yake kupanga na wewe aamue tu ila haina ulazima . Watoto ni wake ndo maana wanaitwa jina lake nyie mnafanya kutubebea tu huwez nipangia nikitaka watano ni haohao ukishindwa wewe idadi watatimiza wenzio japo hatuombii tufikie huko vitu vingine tunasababishiana



Kunawataokuja na hoja zao za uchungu sjui leba. Hivo mmeumbiwa nyie sisi inatuhusu nini. Ni kama sisi tulivyoambiwa tutafuta kwa jasho ukiona mwanaume analalamika kufanya majukumu yake kutafuta kwa jasho nae pia atakuwa ni mtu wa ajabu.

We kama umembeba miezi tisa Mimi nlkuwa nimembeba kweny PU. MBU maisha yangu yote hadi ulipo kuja wewe nnakakupa unisaidie hio miez 9
 
Eeeh kwani ni mimi tu ndo nimepewa kazi ya kuijaza dunia?
Kuna mama alileta kesi shuleni eti aligombana na mwanae kisa alikuwa anataka pesa ya study tour na yeye hana. Mama akaanza kulalamika akimwambia mwanae oooh "si mnaona mlivyo wengi halafu nahangaika mwenyewe"

Mtoto akamjibu mama yake "tatizo mama mliambiwa mkaijaze dunia wewe ukawa busy kuijaza nyumba matokeo yake ndio haya".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…