Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Anaepanga ni mwanaume naomba hii ileweke yeye ni kichwa cha familia ni kiongozi anakubadilisha ubini amekutolea mahari we ni Mali yake huwezi mpangia mtu na matumizi ya Mali yake kupanga na wewe aamue tu ila haina ulazima . Watoto ni wake ndo maana wanaitwa jina lake nyie mnafanya kutubebea tu huwez nipangia nikitaka watano ni haohao ukishindwa wewe idadi watatimiza wenzio japo hatuombii tufikie huko vitu vingine tunasababishiana



Kunawataokuja na hoja zao za uchungu sjui leba. Hivo mmeumbiwa nyie sisi inatuhusu nini. Ni kama sisi tulivyoambiwa tutafuta kwa jasho ukiona mwanaume analalamika kufanya majukumu yake kutafuta kwa jasho nae pia atakuwa ni mtu wa ajabu.

We kama umembeba miezi tisa Mimi nlkuwa nimembeba kweny PU. MBU maisha yangu yote hadi ulipo kuja wewe nnakakupa unisaidie hio miez 9
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Uzuri kipenzi changu Khantwe ameshakubali tuunde kikosi kazi basi halina shida hilo. Mwendo utakuwa kupishanisha mwaka mwaka ili machalii waende sawa.

Babu alipiga 6, mzee 4 mimi niishie 2? Ukoo umepungua sana Haitafaa!!! Nitaongeza 6 wawe 8 tu hamna namna.
Tukamilishe timu ya netball kabisa babe
 
Na watoto wa siku hizi kwa majibu teh
Kuna mama alileta kesi shuleni eti aligombana na mwanae kisa alikuwa anataka pesa ya study tour na yeye hana. Mama akaanza kulalamika akimwambia mwanae oooh "si mnaona mlivyo wengi halafu nahangaika mwenyewe"

Mtoto akamjibu mama yake "tatizo mama mliambiwa mkaijaze dunia wewe ukawa busy kuijaza nyumba matokeo yake ndio haya".
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Lizarazu nae kiboko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaah sema huyu naye kuna uzi nilikuta anamjibu mtu kuwa vita vyangu anayeviweza ni Extrovert tu hata yeye mwenyewe huwa anakaaga pembeni eti wengine wote nawapigaga KO ila Extrovert ndo naendaga naye sambamba daah yaani mimi huwa najaribu kuwaelewesha kumbe wenzangu wanaonaga kama vile tupo kwenye ligi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom