Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ni ya wote wawili.
Unaangalia Mwili(afya na utayari) na umri kama bado unaruhusu , au kipato.

Kama mwanaume anahitaji idadi ya watoto ambao ni tofauti na matakwa yangu huo ni UKOLONI na hapa wanawake huwa tunajua venye tunafanyaga.
Hamna kubishana naye , ila atashangaa kila siku holaa mpaka ajihisi ameishiwa nguvu za kiume.

Kikubwa ni kusikilizana, maana hata wanaume wenyewe ukijibebesha mimba tuu kuna wakati wana mind "wewe kila siku unabeba mimba tuu".

Narudia tena kikubwa ni MAKUBALIANO mambo ya kulazimishana kisa wewe ni kichwa cha familia kuna siku atajihisi hana nguvu za kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabisa itafika pahala itabidi tu tuanze kutoa siri za kambi maana wanatuchukulia poa sana hawa viumbe
 
Anaepanga ni mwanaume naomba hii ileweke yeye ni kichwa cha familia ni kiongozi anakubadilisha ubini amekutolea mahari we ni Mali yake huwezi mpangia mtu na matumizi ya Mali yake kupanga na wewe aamue tu ila haina ulazima . Watoto ni wake ndo maana wanaitwa jina lake nyie mnafanya kutubebea tu huwez nipangia nikitaka watano ni haohao ukishindwa wewe idadi watatimiza wenzio japo hatuombii tufikie huko vitu vingine tunasababishiana



Kunawataokuja na hoja zao za uchungu sjui leba. Hivo mmeumbiwa nyie sisi inatuhusu nini. Ni kama sisi tulivyoambiwa tutafuta kwa jasho ukiona mwanaume analalamika kufanya majukumu yake kutafuta kwa jasho nae pia atakuwa ni mtu wa ajabu.

We kama umembeba miezi tisa Mimi nlkuwa nimembeba kweny PU. MBU maisha yangu yote hadi ulipo kuja wewe nnakakupa unisaidie hio miez 9
Nonsense
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaah sema huyu naye kuna uzi nilikuta anamjibu mtu kuwa vita vyangu anayeviweza ni Extrovert tu hata yeye mwenyewe huwa anakaaga pembeni eti wengine wote nawapigaga KO ila Extrovert ndo naendaga naye sambamba daah yaani mimi huwa najaribu kuwaelewesha kumbe wenzangu wanaonaga kama vile tupo kwenye ligi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzio wanataka wakisema jambo wewe ni "ndio mzee" tu, vinginevyo hawataki.
 
Duuuh!! Kama anampenda mno angemwambia.

Vitu vingi vinaitaji muda kutafakari na mengine angekua hana mtt hata mmoja kwel lkn wpo 3 hapo shida mwanamke anaweza kasirika sana
 
Vitu vingi vinaitaji muda kutafakari na mengine angekua hana mtt hata mmoja kwel lkn wpo 3 hapo shida mwanamke anaweza kasirika sana
Haina justfications hiyo, for better...for worse.
 
Mbona hata wasio nazo wanafyatua tu?
Tunazungumzia kwa wale wanaopanga,hawa wasionazo starehe yao ni kuzaa tu,ndiyo maana kwenye poor neighbourhood ndiko kwenye watu wengi katika kila kaya ukilinganisha na kule kwa wenye nguvu.
 
Back
Top Bottom