Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaah sema huyu naye kuna uzi nilikuta anamjibu mtu kuwa vita vyangu anayeviweza ni Extrovert tu hata yeye mwenyewe huwa anakaaga pembeni eti wengine wote nawapigaga KO ila Extrovert ndo naendaga naye sambamba daah yaani mimi huwa najaribu kuwaelewesha kumbe wenzangu wanaonaga kama vile tupo kwenye ligi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahahah aisee kumbe kuna raia zina compete 😂😂😂
 
hata kama haitakuwa hivyo kwa 100% lakini hali hiyo ya kumilikiwa itapungua kwa kiasi kikubwa sana.

swali sasa je, mko tayari kukubali kuolewa bila mahari?
Kwahiyo mkuu unataka kusema kwamba mfano leo hii mahari ikafutwa kabisa mtaacha kuwatawala na kuwamiliki wanawake si ndiyo?
 
Dah kwa sisi ambao haijabalance tunateseka, natamani kupata wa kike (even her bro is dreaming to have the second Lady in the family apart from her mother)
 
Mungu akutangulie katika hilo.
 
Ofcourse yes mtu kaona kaishiwa hoja anaamua kuja kusema mimi feminist sijui nataka usawa mara napenda kushindana tena sifai kuolewa kimeenda kimerudi kimepanda kimeshuka blah blah blah yala yala yala then I'm like nigga wtf
hahahah aisee kumbe kuna raia zina compete [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hizi mahari ndo zinafanya mtunyanyase hivi basi hata sioni umuhimu wake na ingekuwa ni amri yangu ningefuta kabisa hizo mahari kwanza sijui hata zinakuwaga na msaada gani kwa hao wanaozipokea kama ni pesa mimi naonaga hazina tofauti na za mkopo wa chuo yaani hazikaagi muda mrefu na unakuta hakuna cha maana ulichozifanyia
hata kama haitakuwa hivyo kwa 100% lakini hali hiyo ya kumilikiwa itapungua kwa kiasi kikubwa sana.

swali sasa je, mko tayari kukubali kuolewa bila mahari?
 
mahari a.k.a bride price a.k.a loboa a.k.a uforusu a.k.a ni aina nyingine ya udharirishaji wa mwanamke, ndio maana feminists wengi hawasapoti suala la mahari

Mwanamke anakuwa hana tofauti na mandazi.

Mahari sio sababu pekee ya wanawake kuwa dominated na wanaume zipo sababu nyingi zaidi ya hizo.
Kama hizi mahari ndo zinafanya mtunyanyase hivi basi hata sioni umuhimu wake na ingekuwa ni amri yangu ningefuta kabisa hizo mahari kwanza sijui hata zinakuwaga na msaada gani kwa hao wanaozipokea kama ni pesa mimi naonaga hazina tofauti na za mkopo wa chuo yaani hazikaagi muda mrefu na unakuta hakuna cha maana ulichozifanyia
 
Ofcourse yes mtu kaona kaishiwa hoja anaamua kuja kusema mimi feminist sijui nataka usawa mara napenda kushindana tena sifai kuolewa kimeenda kimerudi kimepanda kimeshuka blah blah blah yala yala yala then I'm like nigga wtf
usiwaze mamii,
 
mahari a.k.a bride price a.k.a loboa a.k.a uforusu a.k.a ni aina nyingine ya udharirishaji wa mwanamke, ndio maana feminists wengi hawasapoti suala la mahari

Mwanamke anakuwa hana tofauti na mandazi.

Mahari sio sababu pekee ya wanawake kuwa dominated na wanaume zipo sababu nyingi zaidi ya hizo.
Ni kweli na hizo sababu nyingine ni zipi?
 
Back
Top Bottom