Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Eeeh kwani ni mimi tu ndo nimepewa kazi ya kuijaza dunia?
Ohooo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooo!
Nope, not even a little piece.Huko haliondoi ukweli kwamba mfumo dume umejaa kote, ila mnajitahidi sana kuweka balance kwa sasa.
Mie wa mbegu, lazma nifyatue kuendeleza family tree.Vizuri.
Na sijui kwanini mara nyingi wanaume ndio huwa wanahitaji idadi kubwa ya watoto[emoji1745][emoji1745]
[emoji23][emoji23]why?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] i wish you was my GF!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hao wazee wa dictatorship hapana aisee sasa bora hao kuna hii chata nyingine inaitwa Nyalotsi huyu anakwambia haamini katika vitabu vya dini halafu hapo hapo anakutolea mifano kutoka kwenye vitabu vya dini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
ha ha ha ha kila mmoja analinda begi lakeW.end, anahudumia ndoa.
Drama zako ningekuwa nafurahi tu.😂😂😂[emoji23][emoji23]why?
Aisee kweli weekend, wacha watu walinde ugaliW.end, anahudumia ndoa.
Kuna mama alileta kesi shuleni eti aligombana na mwanae kisa alikuwa anataka pesa ya study tour na yeye hana. Mama akaanza kulalamika akimwambia mwanae oooh "si mnaona mlivyo wengi halafu nahangaika mwenyewe"Eeeh kwani ni mimi tu ndo nimepewa kazi ya kuijaza dunia?
Ni kazi ya wote, ila Mungu atapendezwa na juhudi zako katika kutekeleza agizo!Eeeh kwani ni mimi tu ndo nimepewa kazi ya kuijaza dunia?