Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Intelligence.!! harsh Truth men are more intelligent than women.

na hata ujasiri pia.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
And that is where you are badly mistaken believing that every man is more intelligent than every woman anyway let me leave you with that belief of yours because even if I'll try to criticize you with some strong points you'll still think I'm being feminist on this
 
Kama mwanamke ana degree .. mwanamke ndio atapanga lakini kama mwanamke hana degree ana elimu ya certificate .. uwanja wako mwanaume kupanga unacho taka.[emoji1787]
Mwanaume ndio anatakiwa kupanga idadi ya watoto kulingana na kipato chake.

Kama mwanamke analazimisha idadi ndogo na mme anataka idadi kubwa basi uchumi wa familia uwe ndio kigezo cha maamuzi ya mwisho.
 
Tatizo lako wewe upo kizamani sana.. imagine mkeo ana make more money kuliko wewe. Huoni hako kamseko kako hakana maana.
 
Tatizo lako wewe upo kizamani sana.. imagine mkeo ana make more money kuliko wewe. Huoni hako kamseko kako hakana maana.
Wewe ndio unahisi hivyo. Kama anamake more money bado ntamwambia I want 8 kids, yeye akisema watatu basi watano waliobaki si ntawapata tu kwengine.
 
Kama mwanamke ana degree .. mwanamke ndio atapanga lakini kama mwanamke hana degree ana elimu ya certificate .. uwanja wako mwanaume kupanga unacho taka.[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama mwanamke ana degree .. mwanamke ndio atapanga lakini kama mwanamke hana degree ana elimu ya certificate .. uwanja wako mwanaume kupanga unacho taka.[emoji1787]
Mwanaume kuwa cheti ukaenda kuoa mwanamke mwenye digrii jua hujajitambua na utapata taabu sana.
 
Ni diskasheni ndio, lakini ni vyema kura ya veto ya uanaume itumike kwa busara...
Good for you mkuu, i thought it's a discussion between the two of you.
 
Mkuu, uachane na maisha ya kwenye tamthiliya.
Njoo kwenye maisha halisi ya kiafrica.!!
Tamthilia? Mbona mimi siyo mtazamaji wala mpenzi wa tamthilia? Kwani maisha ya kwenye tamthilia ndo yakoje hayo mbona siyajui? Mimi nazungumzia haya haya maisha halisi tuliopo ila wewe mwenzangu naona kama unazungumzia maisha ya kwenye ndoto sijui.
 
Nampa pole atakaye/aliyekuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…