Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Hii hapa.

Vipi na Mimi niki make the money naruhusiwa Ku make the rule?

Kama suala ni pesa!
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Hebu hili tuliache for now 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Naona limekukaa kinomaaaaaπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Ni mwili wake maamuzi ndani ya ndoa ni ya wote wawili. Kama mnatofautina idadi ya watoto wawili tatizo si kubwa mnaweza kuamua kuwa na mmoja zaidi, lakini kama mke anasema watatu na mume anataka timu ya mpira basi hapo nyumba lazima iwake moto.
Kuna wanaume ni wababee, akiamua ameamua hataki mjadala.
 
Hapana, wewe uliniambia nisitegemee hela mwanamke ni mwanamke tuu. Sasa ndiyo nashangaa unanirudisha kule kwenye kuamini kwamba money can buy everything.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maamuzi ni ya pamoja.... Binafsi nilikuwa nataka wanne, lakini mwenzangu alitaka wawili ... Tukafikia watatu na ndo tunao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…