Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio kiboko ya Extrovert na @releaf mirzska
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hao wazee wa dictatorship hapana aisee sasa bora hao kuna hii chata nyingine inaitwa Nyalotsi huyu anakwambia haamini katika vitabu vya dini halafu hapo hapo anakutolea mifano kutoka kwenye vitabu vya dini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mimi sijasema hivyo infact ninachojua ni kwamba hakuna dini inayofundisha kwamba mwanaume anatakiwa amtawale mwanamke through dictatorship japo kuna watu (ambao ni waislam) waliwahi kuniambia kuwa katika uislam mwanamke hana sauti kabisa japo sikukubaliana nao ila ilibidi niwaamini tu kishingo upande sababu ni dini yao na mimi sheria za kiislam sizijui
Dini zote(kama unazifuata) zina mfumo dume, huo ukristo tu umejaa mfumo dume balaa.
 
Ni mwanamme ndio atapanga idadi ya watoto watakaopatikana, I mean there is no objection from the husband side if the wife need more and more kids. There will always be objections from the wife's side if a husband wants more and more kids, if you know what I mean!

You can't just tell me utazaa watoto watatu eti because unataka umaintain umbo lako, that's crap! Give me the acceptable reasons like health reasons.

I will get the number of kids I want with you, or without you! In my world, I make the money, i make the rule.......
Thats ma dawg 😁😁😁
 
Dini zote(kama unazifuata) zina mfumo dume, huo ukristo tu umejaa mfumo dume balaa.
Sawa lakini ni tofauti na watu wengi wanavyochukulia ndo maana tunashauriwa tusisome biblia kama riwaya maana maandiko mengi mule ni kama mafumbo yanahitaji ufafanuzi na uelewa

Sasa watu wengi wanasoma wanayachukua kama yalivyo halafu wanakuja kutudanganya hapa eti maandiko yanasema ukija kulitafsiri hilo andiko lenyewe alilokutajia na yeye alichomaanisha unabaki unamsikitikia tu maana unaona kabisa hajalielewa
 
Maamuzi ni ya wote wawili.
Unaangalia Mwili(afya na utayari) na umri kama bado unaruhusu , au kipato.

Kama mwanaume anahitaji idadi ya watoto ambao ni tofauti na matakwa yangu huo ni UKOLONI na hapa wanawake huwa tunajua venye tunafanyaga.
Hamna kubishana naye , ila atashangaa kila siku holaa mpaka ajihisi ameishiwa nguvu za kiume.

Kikubwa ni kusikilizana, maana hata wanaume wenyewe ukijibebesha mimba tuu kuna wakati wana mind "wewe kila siku unabeba mimba tuu".

Narudia tena kikubwa ni MAKUBALIANO mambo ya kulazimishana kisa wewe ni kichwa cha familia kuna siku atajihisi hana nguvu za kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahio utagonga P2 tu ama?
 
Sawa lakini ni tofauti na watu wengi wanavyochukulia ndo maana tunashauriwa tusisome biblia kama riwaya maana maandiko mengi mule ni kama mafumbo yanahitaji ufafanuzi na uelewa

Sasa watu wengi wanasoma wanayachukua kama yalivyo halafu wanakuja kutudanganya hapa eti maandiko yanasema ukija kulitafsiri hilo andiko lenyewe alilokutajia na yeye alichomaanisha unabaki unamsikitikia tu maana unaona kabisa hajalielewa
Huko haliondoi ukweli kwamba mfumo dume umejaa kote, ila mnajitahidi sana kuweka balance kwa sasa.
 
Umenikumbusha rafiki yangu wa kichaga maandalizi ya kujifungua ni mafuta ya kula lita 40 na vitu vingine[emoji134][emoji134]
Hadi ugali unawekwa mafuta, alitoka uzazi anatembea kama roboti.
Hahaa naomba nimuone huyo mtembea kama robot
 
Back
Top Bottom