Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
sijui hata yuko mtaa gani leo@khantwe anashindwa majukumu eeeh!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui hata yuko mtaa gani leo@khantwe anashindwa majukumu eeeh!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hao wazee wa dictatorship hapana aisee sasa bora hao kuna hii chata nyingine inaitwa Nyalotsi huyu anakwambia haamini katika vitabu vya dini halafu hapo hapo anakutolea mifano kutoka kwenye vitabu vya dini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio kiboko ya Extrovert na @releaf mirzska
[emoji120][emoji120]asantePointi tupu.
Dini zote(kama unazifuata) zina mfumo dume, huo ukristo tu umejaa mfumo dume balaa.Mimi sijasema hivyo infact ninachojua ni kwamba hakuna dini inayofundisha kwamba mwanaume anatakiwa amtawale mwanamke through dictatorship japo kuna watu (ambao ni waislam) waliwahi kuniambia kuwa katika uislam mwanamke hana sauti kabisa japo sikukubaliana nao ila ilibidi niwaamini tu kishingo upande sababu ni dini yao na mimi sheria za kiislam sizijui
Thats ma dawg 😁😁😁Ni mwanamme ndio atapanga idadi ya watoto watakaopatikana, I mean there is no objection from the husband side if the wife need more and more kids. There will always be objections from the wife's side if a husband wants more and more kids, if you know what I mean!
You can't just tell me utazaa watoto watatu eti because unataka umaintain umbo lako, that's crap! Give me the acceptable reasons like health reasons.
I will get the number of kids I want with you, or without you! In my world, I make the money, i make the rule.......
Sawa lakini ni tofauti na watu wengi wanavyochukulia ndo maana tunashauriwa tusisome biblia kama riwaya maana maandiko mengi mule ni kama mafumbo yanahitaji ufafanuzi na uelewaDini zote(kama unazifuata) zina mfumo dume, huo ukristo tu umejaa mfumo dume balaa.
Certified Dictators!!Thats ma dawg [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwahio utagonga P2 tu ama?Maamuzi ni ya wote wawili.
Unaangalia Mwili(afya na utayari) na umri kama bado unaruhusu , au kipato.
Kama mwanaume anahitaji idadi ya watoto ambao ni tofauti na matakwa yangu huo ni UKOLONI na hapa wanawake huwa tunajua venye tunafanyaga.
Hamna kubishana naye , ila atashangaa kila siku holaa mpaka ajihisi ameishiwa nguvu za kiume.
Kikubwa ni kusikilizana, maana hata wanaume wenyewe ukijibebesha mimba tuu kuna wakati wana mind "wewe kila siku unabeba mimba tuu".
Narudia tena kikubwa ni MAKUBALIANO mambo ya kulazimishana kisa wewe ni kichwa cha familia kuna siku atajihisi hana nguvu za kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko haliondoi ukweli kwamba mfumo dume umejaa kote, ila mnajitahidi sana kuweka balance kwa sasa.Sawa lakini ni tofauti na watu wengi wanavyochukulia ndo maana tunashauriwa tusisome biblia kama riwaya maana maandiko mengi mule ni kama mafumbo yanahitaji ufafanuzi na uelewa
Sasa watu wengi wanasoma wanayachukua kama yalivyo halafu wanakuja kutudanganya hapa eti maandiko yanasema ukija kulitafsiri hilo andiko lenyewe alilokutajia na yeye alichomaanisha unabaki unamsikitikia tu maana unaona kabisa hajalielewa
😂😂😂😂😂 i wish you was my GF!Certified Dictators!!
Hahaa naomba nimuone huyo mtembea kama robotUmenikumbusha rafiki yangu wa kichaga maandalizi ya kujifungua ni mafuta ya kula lita 40 na vitu vingine[emoji134][emoji134]
Hadi ugali unawekwa mafuta, alitoka uzazi anatembea kama roboti.
Ushamuharibu mtoto, ayaaah tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi huu ujeuri nani anakufundisha mdogo wangu?
So what do you want me enjoy here?
Hahaha huyo ameshaelewa ila anataka kukutia njaa tu.
10 ili nigundue nini huko labour?@heaven sent au Nalendwa?
BTW hao hawana shida wanafyatua tu hata 10.
Ohooo!Ili nigundue nini huko labour?