Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

Kesi hii si mchezo asee
 
Ndo maana hukuwa jaji..... uwiano utaujua wapi na wewe kazi kuimba CCM mbele kwa mbele!!!
Mimi sio mtumwa wa chama chochote humu wala sio mtumwa wa kiongozi wa chama chochote nachangia mada kadri ninavyoona inanipendeza,fuatilia coments zangu utaona.
Maswali na majibu haviendani labda huenda mwandishi anashindwa kuendana na kasi ya mazungumzo ya mahakamani.
 
Pamoja na awareness yooooteeee hii kuhus PGO bado unauliza swali rubbish kama hili au unadhani PGO ni kwa ajili ya kukandamizia ukiwa unaamwandikisha maelezo mtuhumiwa? Mungu tusaidie!!!
Usiwe unakurupuka kudandia vitu ambavyo hujui vimeanzia wapi!
 
Maswali na majibu hayana uwiano.
Mkuu huelewi nini sasa hapo. Kuandika papo kwa papo kitu kinachozungum$wa na watu wengine kunahitaji speed kali na kichwani pia ziwe zinachaji. Sisi tunaelewa vizuri tu.
 
aisee kumbe Majaji na Mahakimu wanakazi sana!
nauliza tu haya maneno yote wanarekodi kwa mkono au mashine?
na yanaandikwa kwa lugha ya kiswahili au kizungu?!
kama ni kwa kizungu inamaana wanatafsiri muda gani?! yaani wanatafasiri wenyewe au wanatafasiriwa?!
hii kazi yote ya nini, kwani haiwezekani kuandikwa kwa lugha ya Taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…