Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

Duh well captured credit kwako

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Shahidi: Mlango ulikuwa wazi na Kitasa nikakuta kimevunjwa,kwenye hii sentensi mimi sioni sehemu aliyosema polisi walivunja mlango bali amesema alikuta kitasa kimevunjwa bila kuelewa nini kimetokea.
 
Shahidi: Mlango ulikuwa wazi na Kitasa nikakuta kimevunjwa,kwenye hii sentensi mimi sioni sehemu aliyosema polisi walivunja mlango bali amesema alikuta kitasa kimevunjwa bila kuelewa nini kimetokea.
Hivi kitasa si sehemu ya mlango? Tuanzie hapo kwanza Mkuu
 
Hivi kitasa si sehemu ya mlango? Tuanzie hapo kwanza Mkuu
mimi nimemueka sawa jokakuu kwamba hakuna kwenye sentensi ya shahidi palipo andikwa polisi walivunja mlango bali kumeandikwa yeye alikuta kitasa kimevunjwa
 
note down jana niliwaambia Jaji anaweza kumwita Athima. Athima ni dada wa Ling'wenya ambaye aliona kitendo hicho live wakati Adamoo anashughulikiwa.

So Mke wa Ling'wenya sasa ndiyo anawapa habari wake za Bire na Adamoo namna wifi yake alivyomwambia - tupo pamoja ?
 
Kama umefatilia mahojiano nabasically hauelewi basi tikisa kichwa itakuwa akili imeganda jamaa...
wewe nafikili mahojiano hayo umeyaanzia kati kati lakini kama umeyafatilia mwanzo mpaka hapa yalipofikia.KWENYE POINT OF OBJECTION kuna sehemu mawakili wanaingilia kati kwamba usimuongoze shahidi nini cha kujibu bali muache ajibu mwenyewe hivyo basi ukisema inamaana polisi walivunja mlango hapo ni kwmba unamuongoza shahidi nini cha kujibu na kwamba tayari sasa unaushahidi wa kesi
 
AMETUPWA WAPI MOSES LIJENJE!?
Sisi kama ndugu zake tunaomba kuonyeshwa japo mabaki ya mwili wake tukazike.
Kwa hili la Lijenje Chadema mnaingia chaka. Aibu kubwa itawashukia. Mark my words.
 
Unakosa heshima kutaja vyombo makini kama KGB na CIA.

hivi vyombo vinafanya kazi kwa weledi mkubwa mno. Ukiwa mtuhumiwa wao unaishi kama paradiso mpaka uchunguzi wa kina utakapogundua wewe u a hatia.
Naondoa statement ya awali.

Sisi wetu ndiyo magaidi wenyewe sasa.
 
Hivi kwanini haya yana tendwa na polisi??? Hivi vyombo vya usalama havioni kwamba hii kesi ina liaibisha Taifa? Kwanini bado hii kesi iko mahakamani? Kwanini bado Siro/ Kingai/ Mahita nk. Bado wako uraiani na wana lipwa mishahara na kodi zetu? Washauri wa Mh. Rais mko wapi?? Hii ni aibu!!! Sikutegemea kuona haya yakitendeka Tanzania. Hivi kina mama wana kwenda mortuary kuraguta waume zao kisa polisi wana waficha?! Kweli??? Mh. Rais ana kubaliana na huu uhuni??? Ina uma kwa kweli...
 
Hii kitu hata wakiweka pingamizi Jaji yeyote atakayefuata bado atakuwa na kazi ngumu Sana maana hapa ni kifungu kwa kifungu hakuna janja janja[emoji16][emoji16]
Kikubwa zaidi hadi hivi sasa tuliowengi tumeshafahamu ukweli wa sakata hili. Hata uwe na mwisho gani ukweli wote umeshaanikwa.

Nawashangaa kina Sirro, Kingai na Mahita wanasubiri nn kwenye nafasi zao??
 
Inasikitisha Sana Mkuu. Sasa hivi Tz haiongozwi na Rais Bali na Jopo la Marais. Hapo ndiyo tatizo linakoanzia.
 
Shahidi: Mlango ulikuwa wazi na Kitasa nikakuta kimevunjwa,kwenye hii sentensi mimi sioni sehemu aliyosema polisi walivunja mlango bali amesema alikuta kitasa kimevunjwa bila kuelewa nini kimetokea.
Nawezekana kaka jambazi kaja kuvunja... polisi wakaja kupiga sachi☹️
 
Nikifatilia hii kesi naumia sana kwa kweli mambo yanavyofanyika ni kama tupo Taliban bila kujijua watu wanatekwa tena watumishi kwa miaka yote hiyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…