Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

Kwa hiyo Samia kwanini asitoe amri ya kufutwa hii case?
Hivi ni nani alisema kule BBC kuwa watuhumiwa wengine wa hii case walisha kiri makosa na kuhukumiwa?
Angekuwa haitaki hii case angeifuta toka mwanzo wakati Mbowe ana kamatwa.
Lazima tukubali hii case imechangiwa sana na vugu vugu la katiba mpya.....
Hii case ina ushawishi wa Rais aliyeko madarakani wala usitetee....
 
Sahihi kabisa
 
Kwa mujibu wa katiba DPP ndio mwenye mamlaka ya kufuta kesi!
 
SIRI???? Yaani uozo huu! Ukatili- unatamani ufichwe!? Mtu wa ajabu sana wewe. Ukitaka nchi yako iheshimiwe, jambo la kwanza ni kujiheshimu wewe na watu wako! Utu kwanza. Unakuwa kama wale wazazi wanaowaficha watoto wao vilema majumbani kwa kuona aibu wanawaacha wanateseka weeeee bila msaada!
 
Things fall apart....

Time Will tell

No longer at easy

Birds with same feasers flock together
Kiinglish bhanaaaaaa...
 
Inamaana hiyo 19Oct, Jaji akiwapa ushindi wa kesi ndogo Akina Mbowe.

Na kwkauzingatia Adamoo ndio alisema Ushahid ule aliutoa kaiwa ananyanyaswa.


Je Jaji akampa Adamoo ushindi.


Inamaana akina kingai watakuja na Ushahid mpya tena?? Au vipi???


Wanasheria.
 
Hivi inawezekana vipi polisi waende kwenye nyumba ya mtu kusachi bila mwenye nyumba kuwepo na badala yake wakawa na mjumbe wa nyumba 10 tena kwa kuvunja mlango?
Kiongozi unauliza majibu? Rekodi Mahakama Kuu ya Tanzania zinaonesha PGO ni kichina kwao! Pamoja na uzwazwa wao kuhusu PGO (maana hata hawajui kama kuna kitu kama hicho) busara ya kawaida tu ingewatuma wamtafute mkewe au mhusika mwingine wa hapo nyumbani awafungulie. Ila ndio hivyo, hawana tofauti na majambazi!
 
Ameeeen kwa kweli
 
Askari wetu wanatia aibu, hapo tena wameliona begi la Adamoo wakalipenda..
Wameliiba!!
Pia wameiba hati ya nyumba na kuondoka na pikipiki jeshi letu la police linahitaji reformation Ili liache uhalifu liwe na maadili ka jeshi la wananchi.
 
... the best they can do ni DPP kufuta kesi halafu hapo nje ya mahakama wakamatwe na kufunguliwa kesi upya kwa ushahidi mwingine (ulioboreshwa).
 
Hivi inawezekana vipi polisi waende kwenye nyumba ya mtu kusachi bila mwenye nyumba kuwepo na badala yake wakawa na mjumbe wa nyumba 10 tena kwa kuvunja mlango?
HAO NI VIBAKA WA AFANDE ZIRO. UWELEDI KWAO SIFURI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…