Unattributed mpunga wa watu imeishabhiooNimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?
Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia kwanza hoja za watanzania wenzangu.
CHAMA CHA MAJIZICcm na bu.munda ukiuliza bajeti yake hapo unapata dispensary kadhaa bora usiulize unapata msononeko mjarabu.
Wana CCM nyege zimewapanda, Sasa mnataka kuyaingilia kinyume na maumbile masanamu mnayoyaona mbele ya macho yenuKama lina Tako halina shida....
Waje watugawie huku mahome kabisa..
Mkono wa baunsa siyo?Duh
Hii kitu mbunge wa Kawe askofu Dr Gwajima alishaielezea kitambo pale Kanisani kwake
Akisema alienda Japan na kupokelewa na Robot hotelini na kumpokea Mizigo na kumsindikiza hadi Chumbani
Walipofika Chumbani Robot akamwonyesha baba Askofu mambo Yote muhimu kisha akamuaga na kujitambulisha kuwa yeye ni Robot
Sitashangaa nikisikia Eunice kaletwa na baba askofu Dr Gwajima Mbunge 😂😂
Mlale unono 😀😀🔥
Chaputa oyeee !!!!!Kama lina Tako halina shida....
Waje watugawie huku mahome kabisa..
Tunaomba Majibu haraka kabla hatujakinukishaNimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.