Maamuzi ya kununua au kutengeneza 'robot' yalitolewa lini na ni nani walitoa maoni?

Siyo Kwa Mabaya Lakini Mazuri Ndugu Zangu



Hivi Nisipokuwepo SGR Itatembea Kweli?
Ndege Zitanunuliwa
Bwawa Litajengwa
Inanibidi Nichape Kazi Kweli Kweli
By Mzilankende, Jiwe, Chuma, Baba Jesca
Yataendaje wakati yeye alivuluga uchaguzi akatuletea hao watu wasiojua wapo pale kufanya nini
 
Kwani Waziri wa teknolojia humjui ? Hilo lilikuwa wazo lake
 
Sawa Lanlady ā˜ŗļø
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] hivi hua wanatuonaje? Mbona kama wanajichoresha sana
Wanakosea sana hawajui... bora wangeleta latest kama kina roboti Sophia na mengineyo siyo hili la Enzi hizo
 
Traore wa Bokinafaso kanunua matrekta 400 na vitendea kazi za kilimo zaidi ya 300 ili kuinua maisha na uchumi wa watu wake. Sisi tumenunua Roboti la kukaribisha viongozi kwenye kumbi!!!

Nchi imepatwa na aibu tunaona sisi wananchi!! Tunamshukuru mama kwa roboti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…