Maamuzi ya kununua au kutengeneza 'robot' yalitolewa lini na ni nani walitoa maoni?

Robot hata mtoto wangu anatengeneza,acha ushamba
 
Yaani ni ujinga na ukasuku tu. Wakisikia kitu kinavumishwa hawana uwezo kupima kama kwenye nchi yetu level yetu au uchumi wetu tunahitaji kitu kama hicho kwa sasa au la. Ndio maana kuna shaka kwa ukasuku ujinga na uchaw wa viongozi wetu tutapelekeshwa kushindwa kufaidika na gesi, makaa ya mawe kibao tuliyonayo au mafuta ya petroli ambayo kwa hakika yapo nchini.
 
Siku zote tanzania inapo ongozwa na waisiharamu nchi inakuwa ya kipumbavu huo ndiyo ukweli waisihalamu awana akili hata chembe
 
Siku zote tanzania inapo ongozwa na waisiharamu nchi inakuwa ya kipumbavu huo ndiyo ukweli waislamu awana akili hata chembe
Punguza jazba mkuu. Hili suala halina ukristo au uislam. Hata hizo dini zililetwa na wazungu.
Bi mkubwa mwenyewe ukisikia historia yake, wala hata hana huo udini kiihivyo. Hata ushungi alikuwa hajui kuufunga kwa mujibu wa maelezi yake.

Tatizo la wawakilishi wetu (wabunge) hawapendi kujipa stress za kutengwa na kusakamwa kwasababu ya kuhoji maamuzi ya serikali. Thus why kila kitu kwao ni 'ndiyoooo' ili maisha yao yaendelee pasipo kujali mstakabali wa taifa!
 
NDIYO MAANA NI WAISIHARAMU SIYO WAISLAMU ..TUMIA AKILI ACHA KUTUMIA KIJAMBIO KUFIKIRI KAMA HUYO BI MKUBWA ULIYE MTAJA...KWA SASA DUNIANI NI KAMA HAKUNA WAISLAMU BALI WAMEJAA WAPUMBAVU WAISIHARAMU ...KWA JINA JINGINE TUNAWAITA ...WANAOFUNGA RAMADHANI NA KUFUTURU FUTARI YA NGURUWE .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706] ni aibu kubwa.
 
Hivi hapo bungeni kuna wabunge au mataahira tu ndio yamejaa?
 
Wangeweka hata li Chatgpt hapo na loud speaker kuliko hiyo takataka
 
Eti hapo ndo wanakuaminisha Tanzania ni nchi ya teknolojia
 
Nape alieleza kabisa kuwa Hilo roboti limegharimu Dola za kimarekani milioni mbili.kodi zetu zinachezewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…