Maamuzi ya kununua au kutengeneza 'robot' yalitolewa lini na ni nani walitoa maoni?

Tija ndio hiyo nimekueleza hapo,utaanza kuwaona kwenye tiba.

Pia seems mna akili fupi,hiyo ni kuonesha kwamba Tanzania tayari tuna teknolojia ya 5G na uwezo wa kutengeneza huyo roboti.

Leo hii tele medicine zinafanyika

Elimu mtandao

Kusikiliza.mashauri ya Mahakama.kwa.mtandao.
 
Hapo kwenye "mna akili fupi" ndipo unakosea. Badala ya kujibu hoja unatoa kauli ya kudharau uwezo wa wengine kuhoji!

Labda nikuulize, hivi unadhani kila kinachoanzishwa na 'wazungu' kiko sahihi?

Hivi kwa utashi wako, unadhani wakoloni walitumia mbinu gani ili kuwaaminisha waafrica kuwa tamaduni zao ni za kishenzi? (Tamaduni ambazo baadhi yake leo hii inatumika nguvu ya ziada kuzirejesha) Je, unafikiri hakukuwa na wachache waliohoji ingawaje pengine walionekana wana akili fupi?
Huyo robot ni asset or liability?
 
Roboti hili ni kwa ajili ya wenye biashara kuweka milangoni, ingia gugoo utapata wauzaji na bei zake.
 
Acha Watu Waendelee kujipimia...
 
Sisi ni watumiaji tu, hatuandai na hatuna sehemu ya kutengeneza ila za bia tunazo.
 
ukipata jibu niambie
 
Rahaa ya kukaribishwa, ni ukaribishwe na binaadamu mwenzio na si robot!!
 
🤣 🤣 🤣
 
Tunachezewa Sana Wananchi
Ule Wa Robot Bungeni Ni Mzaha Mtupu, Na Lazima Mtonyo Umepigwa Mrefu Sana
Huwa nawaza sana, kama nchi inaviongozi watu wazima ambao wanaona mambo yako sawa na hawajali, tusitegemee kusogea mbele kwa kasi inayostahili. Imagine watu wazima wanasogea kupata picha na limdoli! Akili zao baada ya hapo huwa zinawaza nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…