Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Bwana akawainua Waamuzi ili wapate kuliokoa Taifa lake, Naam Taifa la Agano lake.Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa.
Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS imeonekana dhahiri. Kifungu hiki kiliwekwa purposely kuifanya TLS kusimama endapo Mihimili ya dola itajisahau au itatekwa na kushindwa kusimamia Katiba.
Kusimama imara kwa TLS ya Mwabukusi kumefanya Mahakama kujua nafasi yake Kikatiba na Kusimamia kweli Haki.
Kusimama Imara kwa TLS kumesababisha Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoka mafichoni jana na kutoa tamko kuhusu mwendendo wa masuala ya haki nchini.
Kongole nyingi kwake pia Mzee wetu wa maana kabisa Jaji Joseph Sinde Warioba na Mawakili wa Tundu Antipass Lissu wakiongozwa na Senior Counsel Mzee wangu Mwaisa Mpale Mpoki.
Maamuzi haya kwangu mimi ni ushahidi tosha wa umuhimu wa kuwepo wa TLS imara inayosimama kwa niaba ya Wananchi.
Lord denning,
Kisutu.
Usiwasahau na viongozi wa Dini, Wanaharakati na Watanzania wote wenye mapenzi MemaBaada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa.
Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS imeonekana dhahiri. Kifungu hiki kiliwekwa purposely kuifanya TLS kusimama endapo Mihimili ya dola itajisahau au itatekwa na kushindwa kusimamia Katiba.
Kusimama imara kwa TLS ya Mwabukusi kumefanya Mahakama kujua nafasi yake Kikatiba na Kusimamia kweli Haki.
Kusimama Imara kwa TLS kumesababisha Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoka mafichoni jana na kutoa tamko kuhusu mwendendo wa masuala ya haki nchini.
Kongole nyingi kwake pia Mzee wetu wa maana kabisa Jaji Joseph Sinde Warioba na Mawakili wa Tundu Antipass Lissu wakiongozwa na Senior Counsel Mzee wangu Mwaisa Mpale Mpoki.
Maamuzi haya kwangu mimi ni ushahidi tosha wa umuhimu wa kuwepo wa TLS imara inayosimama kwa niaba ya Wananchi.
Lord denning,
Kisutu.
Wazee wa zamani walikuwa na akili kuweka ile Section 4 kwenye Sheria ya TLS.Bwana akawainua Waamuzi ili wapate kuliokoa Taifa lake, Naam Taifa la Agano lake.
Sio tu kifungu hicho.Wazee wa zamani walikuwa na akili kuweka ile Section 4 kwenye Sheria ya TLS.
Watu wengi hawajui kuwa kile uwepo wa kile kifungu ulifanywa kwa makusudi ili Taasisi hii iwe inasimama kuirudisha Mihimili Mikuu ya Dola kwenye mstari endapo inakuwa imekosea.
Watu hawajui tu TLS ilisimama hadi kupinga baadhi ya maamuzi ya Serikali ya Mwalimu na muda mwingine kuutetea mhimili wa Mahakama mahali ambapo Serikali ya Mwalimu ilikuwa inaingilia utendaji wa Mhimili wa Mahakama.Sio tu kifungu hicho.
Je unakumbuka kwamba Kabla ya Lissu kugombea Uriais TLS ilikuwa haifahamiki? Pamoja na hicho kifungu?
Tundu Lissu ndio mtu wa kwanza kuipa Heshima Taasisi hiyo.
Asante mkuu.Kuna watu hujutii kusoma thread zao,ni nondo tu,,ila wa Lumumba Sasa 😮
Mahakama kwa mara nyingine tena imerudishwa kwenye mstari wake na TLSSahihi kabisa
Kusimama imara kwa TLS ya Mwabukusi kumefanya Mahakama kujua nafasi yake Kikatiba na Kusimamia kweli Haki.Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa.
Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS imeonekana dhahiri. Kifungu hiki kiliwekwa purposely kuifanya TLS kusimama endapo Mihimili ya dola itajisahau au itatekwa na kushindwa kusimamia Katiba.
Kusimama imara kwa TLS ya Mwabukusi kumefanya Mahakama kujua nafasi yake Kikatiba na Kusimamia kweli Haki.
Kusimama Imara kwa TLS kumesababisha Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoka mafichoni jana na kutoa tamko kuhusu mwendendo wa masuala ya haki nchini.
Kongole nyingi kwake pia Mzee wetu wa maana kabisa Jaji Joseph Sinde Warioba na Mawakili wa Tundu Antipass Lissu wakiongozwa na Senior Counsel Mzee wangu Mwaisa Mpale Mpoki.
Maamuzi haya kwangu mimi ni ushahidi tosha wa umuhimu wa kuwepo wa TLS imara inayosimama kwa niaba ya Wananchi.
Lord denning,
Kisutu.
Hili haliepukiki. Na hapa ndo tunapata msingi wa hoja ya Constitutional Reforms.Hawa magaidi wameviweka mfukoni vyombo vyote vya dola. Tunahitaji kuanza upya mifumo yote ifumuliwe makada wa chama wafurushwe huko kote.
Safi sana jamaa.Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa.
Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS imeonekana dhahiri. Kifungu hiki kiliwekwa purposely kuifanya TLS kusimama endapo Mihimili ya dola itajisahau au itatekwa na kushindwa kusimamia Katiba.
Kusimama imara kwa TLS ya Mwabukusi kumefanya Mahakama kujua nafasi yake Kikatiba na Kusimamia kweli Haki.
Kusimama Imara kwa TLS kumesababisha Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoka mafichoni jana na kutoa tamko kuhusu mwendendo wa masuala ya haki nchini.
Kongole nyingi kwake pia Mzee wetu wa maana kabisa Jaji Joseph Sinde Warioba na Mawakili wa Tundu Antipass Lissu wakiongozwa na Senior Counsel Mzee wangu Mwaisa Mpale Mpoki.
Maamuzi haya kwangu mimi ni ushahidi tosha wa umuhimu wa kuwepo wa TLS imara inayosimama kwa niaba ya Wananchi.
Lord denning,
Kisutu.
Magufuli alitaka kuiteka TLS. Hakujua Wazee waliotunga ile Sheria kina Mark Bomani waliona nini hadi kuamua kiwepo kifungu cha 4 Kinachoifanya TLS kuwa " The Shadow 4th Organ of the State"Hii sasa ndio TLS.
Huyu mzee akili kubwa ndiyo angepewa kuisimamia Tume ya uchaguziBaada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa.
Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS imeonekana dhahiri. Kifungu hiki kiliwekwa purposely kuifanya TLS kusimama endapo Mihimili ya dola itajisahau au itatekwa na kushindwa kusimamia Katiba.
Kusimama imara kwa TLS ya Mwabukusi kumefanya Mahakama kujua nafasi yake Kikatiba na Kusimamia kweli Haki.
Kusimama Imara kwa TLS kumesababisha Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoka mafichoni jana na kutoa tamko kuhusu mwendendo wa masuala ya haki nchini.
Kongole nyingi kwake pia Mzee wetu wa maana kabisa Jaji Joseph Sinde Warioba na Mawakili wa Tundu Antipass Lissu wakiongozwa na Senior Counsel Mzee wangu Mwaisa Mpale Mpoki.
Maamuzi haya kwangu mimi ni ushahidi tosha wa umuhimu wa kuwepo wa TLS imara inayosimama kwa niaba ya Wananchi.
Lord denning,
Kisutu.
wale wa joka la kijani akili ziko matumboniKuna watu hujutii kusoma thread zao,ni nondo tu,,ila wa Lumumba Sasa 😮
Watu hawajui tu TLS ilisimama hadi kupinga baadhi ya maamuzi ya Serikali ya Mwalimu na muda mwingine kuutetea mhimili wa Mahakama mahali ambapo Serikali ya Mwalimu ilikuwa inaingilia utendaji wa Mhimili wa Mahakama.
Ni kwa vile the golden generation ya Tanganyika inapotea saivi wamebaki wazee wachache wanaojitambua kama Mzee Warioba ndo wanaweza elezea mambo haya vizuri.