Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #21
Yule hastahili hata kuwa Mkurugenzi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.Sasa yule Mwanasheria Mkuu wa Serikali itakuaje? Maana yeye alisisitiza shauri lisikilizwe kwa njia ya mtandao na akatetea kweli Bungeni zaidi ya dakika 10
Ili tuwe na Tume bora ya Uchaguzi ni vizuri tutengeneze chombo huru katiba kikatiba ambacho hakina uhusiano wowote na Mamlaka ya Viongozi hasa Wanasiasa.Huyu mzee akili kubwa ndiyo angepewa kuisimamia Tume ya uchaguzi
Uko sahihi kuwa TLS ilikuwa haifahamiki ila chama cha wanasheria wa Tanzania kilikuwa kinafahamika.Sio tu kifungu hicho.
Je unakumbuka kwamba Kabla ya Lissu kugombea Uriais TLS ilikuwa haifahamiki? Pamoja na hicho kifungu?
Tundu Lissu ndio mtu wa kwanza kuipa Heshima Taasisi hiyo
Kabisa mkuu,wakishiba maharage hakuna wanachojua ni kujaza server Kwa post za uchawa tuwale wa joka la kijani akili ziko matumboni
TLS ina nafasi kubwa sana kwenye hili Taifa. Ni vile tu vijana wa sasa hamlifahamu hili.TLS wapo vzuri sana..kama societies zote za kitaaluma.(walimu, wahandisi, madaktari, wasanifu, wachumi, wahasibu, wakulima, wafugaji, wachimbaji wa madini.n.k) wangekuwa na umoja huu kama TLS taifa hili lingepiga hatua kubwa sana kwenye sekta zote nyeti..katika taifa.
TLS ina nafasi kubwa sana kwenye hili Taifa. Ni vile tu vijana wa sasa hamlifahamu hili.
Ile ni kama Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyoundwa kwa Sheria ya Nchi na ikawekwa nje ya Mifumo rasmi ya Nchi kwa nia moja tu ya kusaidia mifumo rasmi ya nchi kutotoka nje ya mistari yake.
Hicho kifungu unacho kipa 'credit' kubwa hivi kinasemaje. Viongozi hawa hawa wamekanyaga Katiba yenyewe, sasa waje wakiogope "kifungu" cha sheria?Wazee wa zamani walikuwa na akili kuweka ile Section 4 kwenye Sheria ya TLS.
Watu wengi hawajui kuwa kile uwepo wa kile kifungu ulifanywa kwa makusudi ili Taasisi hii iwe inasimama kuirudisha Mihimili Mikuu ya Dola kwenye mstari endapo inakuwa imekosea.