Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo sahihi kabisa.Muungano mara nyingi na hasa unapofanyika kwa nia njema, ni jambo jema lenye heri.
Ninalokuunga mkono, hayo yote yasikiuke taratibu za kupata ridhaa za 'wanaounganishwa', yaani wananchi.
Lakini kubwa zaidi, siafiki bunge kuwa wawakilishi wa kila jambo linalohusu ridhaa za wananchi, kwani, hakuna asiyejua sasa kuwa hawa viumbe si wazuri sana katika kuwakilisha aunkulinda maslahi ya wanaowawakilisha (si wote wapo hivyo, ila wengi wao) na hawajali sana maoni ya waliowatuma, bali hujali maslahi yao binafsi na vyama vyao.
Mambo ya msingi sana, wananchi vema wahusike moja kwa moja na sio kupitia wabunge.
Yale mengine, kwa sababu ya ugumu,gharama na shida mbali mbali za kuhusisha wananchi mmoja mmoja, bunge liendelee na blah blah za kiuwakilishi kama kawaida....
Sawa.Jukumu lako kunikumbusha.
Mada bado inaendelea
Ukweli usemwe
Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa katika uongozi wake yapo mambo mazuri alifanya na pia yapo ya kipuuzi ambayo alifanya. Akaendelea kusema anashangaa wanaomfuatia wanayaacha yenye tija na kuendeleza yale mabaya yake.
Katika mambo ya kipuuzi aliyoyafanya mojawapo ni lile la kuipeleka nchi kwenye Umoja wa nchi huru za Afrika (OAU) ambayo sasa inaitwa Umoja wa Afrika (AU) bila kuzingatia utashi na maamuzi ya wananchi.
Ikumbukwe kipindi hiko, Mwalimu alikuwa anaungwa mkono hata na watoto wadogo hivyo angepeleka jambo la kujiunga na jumuia za kikanda wangepiga kura na kumbukumbu ingebaki. Lakini maamuzi yake aliyoyafanya kwa niaba ya Taifa zima hayakuzingatia utashi wa nchi na kiukweli hata Katiba yetu hairuhusu jambo hilo. Katiba ipo kimya kama ilivyonyamazishwa na waliyoiandika.
Sambamba na hilo, uamuzi wa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar ni mufilis endapo utaratibu haukufuatwa. Sidhani kama wananchi enzi hizo waliulizwa na kuridhia kupitia kura kabla ya Nyerere na Karume kuungana. Leo tuna muungano unaolindwa kwa mtutu wa bunduki na wizi wa kura. Muungano ambao viongozi wanaapa kuulinda kwa sababu una maslahi kwao na si kwa wananchi.
NINI KIFANYIKE
Mzee wa Msoga aliwahi kusema kwenye kikao cha wakuu wa nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki kuwa, kabla ya kupata Rais mmoja wa Jumhiya ni sharti wananchi waulizwe kwanza.
Pamoja na mapungufu kadha wa kadha yanayozungumzwa dhidi ya JK, lakini hili la kurudi kwa wananchi kupata ridhaa ni jambo ambalo hakuna rais wa Afrila aliwahi siyo kusema tu, bali hata kuliwaza.
Nashauri, serikali ianze mchakato wa kura za maoni kuhusu sisi kujiunga jumuiya zote za kikanda yaani
AU (African Union)
SADC (Southern African Developing Countries)
EAC (East African Comunity)
ADB
OIC (YKWIM)
Na zingine ambazo wametupeleka huko kama misukule.
Bunge lisitumike kama mhuri wa kufanya maamuzi yanayohitaji utashi wa wananchi ambao ndiyo wenye nchi
Kinyume na hapo, hizo jumuiya zina manufaa makubwa kwa viongozi badala ya kunufaisha nchi.
CC: Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy zitto junior Pascal Mayalla Erythrocyte Mzee Kigogo Retired raraa reree Extrovert Mdude_Nyagali Depal Mamndenyi Joannah Mzee Mwanakijiji funzadume Mshana Jr Bujibuji Simba Nyamaume
Soma uzi vyema ewe mchumiatumbo.Una uhakika wananchi wa kawaida anajua faida za nchi kua katika hzii block?? Kuna madhara yapi yanatokana na nchi kua katika hizi block Vs faida??
Pia niambie nchi ambayo haiko kwene block yyte afu nieleze jinsi inavyofaidika??
Kifupi acha umbumbu Hamnaga faida ya kujitenga zaidi ya angamio na tabu
ok nadhani nimekuelewa kiasi unaweza nikosoa kama ntakuwa sijakuelewa. Shida nayoiona labda siyo muungano ila ni usimamizi na makubaliano yaliyopo. Ukiangalia kama ulivyosema kuwa Raisi Kagame ndiyo kajitolea hapo naweza sema viongozi wa mataifa yaliyopoa kwenye jumuiya hizo husika hawakufanya wajibu wao wa kutosha kwa mfano hata kutoa kauli ya kukemea. Hilo ni tatizo naweza kukubaliana nawe kabisa. Ila bado mimi naamini kuwa faida zipo nyingi tatizo labda ni usimamizi wake tu. Na kwa bahati mbaya tu uchumi wa nchi zetu haulingani ingependeza hata pesa tungekuwa nayo moja ili kuipa nguvu.labda tujikite kwenye kasoro ambazo zikiboreshwa ili kufanya muungano wowote ule uwe imara zaidi.Mawazo yanguSikatai,
Hizo faida pamoja na kwamba zipo kinadharia zaidi ya kiuhalisia kwa sababu hapo Cabo Delgado tumejionea namna nchi wananchama wakijivuta miguu kutoa msaada wa kijeshi hadi alipoamua Kagame kutoa msaada sabili.
Hebu tuangalie kwenye eneo la elimu, maendeleo ya kisekta, kilimo na mambo mtambuka kama vile protokali za kiintelejensia nk. Tunaishi na nadharia nyingi huku tukijihadaa kuwa things are just fine.
Kimsingi, taratibu za kushirikisha wananchi kwenye masuala ya kujiunga jumuiya za kikanda ni muhimu sana.
Leo mnaweza msione mantiki yake lakini kesho haipo mbali
Naam sasa wewe umesoma between lines na kunielewa.ok nadhani nimekuelewa kiasi unaweza nikosoa kama ntakuwa sijakuelewa. Shida nayoiona labda siyo muungano ila ni usimamizi na makubaliano yaliyopo. Ukiangalia kama ulivyosema kuwa Raisi Kagame ndiyo kajitolea hapo naweza sema viongozi wa mataifa yaliyopoa kwenye jumuiya hizo husika hawakufanya wajibu wao wa kutosha kwa mfano hata kutoa kauli ya kukemea. Hilo ni tatizo naweza kukubaliana nawe kabisa. Ila bado mimi naamini kuwa faida zipo nyingi tatizo labda ni usimamizi wake tu. Na kwa bahati mbaya tu uchumi wa nchi zetu haulingani ingependeza hata pesa tungekuwa nayo moja ili kuipa nguvu.labda tujikite kwenye kasoro ambazo zikiboreshwa ili kufanya muungano wowote ule uwe imara zaidi.Mawazo yangu
Kabla ya kuniuliza mimi jiulize kwanza wakijitoa SADC, EAT wewe utafaidika vipi kuipa mashiko hoja yako..Wewe umenufaika vipi
Mie nakushauri jiuwe tu, usijitie stress ambazo hukubaliani nazo.Ukweli usemwe
Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa katika uongozi wake yapo mambo mazuri alifanya na pia yapo ya kipuuzi ambayo alifanya. Akaendelea kusema anashangaa wanaomfuatia wanayaacha yenye tija na kuendeleza yale mabaya yake.
Katika mambo ya kipuuzi aliyoyafanya mojawapo ni lile la kuipeleka nchi kwenye Umoja wa nchi huru za Afrika (OAU) ambayo sasa inaitwa Umoja wa Afrika (AU) bila kuzingatia utashi na maamuzi ya wananchi.
Ikumbukwe kipindi hiko, Mwalimu alikuwa anaungwa mkono hata na watoto wadogo hivyo angepeleka jambo la kujiunga na jumuia za kikanda wangepiga kura na kumbukumbu ingebaki. Lakini maamuzi yake aliyoyafanya kwa niaba ya Taifa zima hayakuzingatia utashi wa nchi na kiukweli hata Katiba yetu hairuhusu jambo hilo. Katiba ipo kimya kama ilivyonyamazishwa na waliyoiandika.
Sambamba na hilo, uamuzi wa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar ni mufilis endapo utaratibu haukufuatwa. Sidhani kama wananchi enzi hizo waliulizwa na kuridhia kupitia kura kabla ya Nyerere na Karume kuungana. Leo tuna muungano unaolindwa kwa mtutu wa bunduki na wizi wa kura. Muungano ambao viongozi wanaapa kuulinda kwa sababu una maslahi kwao na si kwa wananchi.
NINI KIFANYIKE
Mzee wa Msoga aliwahi kusema kwenye kikao cha wakuu wa nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki kuwa, kabla ya kupata Rais mmoja wa Jumhiya ni sharti wananchi waulizwe kwanza.
Pamoja na mapungufu kadha wa kadha yanayozungumzwa dhidi ya JK, lakini hili la kurudi kwa wananchi kupata ridhaa ni jambo ambalo hakuna rais wa Afrila aliwahi siyo kusema tu, bali hata kuliwaza.
Nashauri, serikali ianze mchakato wa kura za maoni kuhusu sisi kujiunga jumuiya zote za kikanda yaani
AU (African Union)
SADC (Southern African Developing Countries)
EAC (East African Comunity)
ADB
OIC (YKWIM)
Na zingine ambazo wametupeleka huko kama misukule.
Bunge lisitumike kama mhuri wa kufanya maamuzi yanayohitaji utashi wa wananchi ambao ndiyo wenye nchi
Kinyume na hapo, hizo jumuiya zina manufaa makubwa kwa viongozi badala ya kunufaisha nchi.
CC: Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy zitto junior Pascal Mayalla Erythrocyte Mzee Kigogo Retired raraa reree Extrovert Mdude_Nyagali Depal Mamndenyi Joannah Mzee Mwanakijiji funzadume Mshana Jr Bujibuji Simba Nyamaume
Mkuu sijui mishe zako za kila siku. Ila kama ungekuwa mhangaikaji unatafuta maisha mtaani, NAAMINI ungejua umuhimu wa kupita boda bila kuomba visa. ungajua umuhimu wa kuingia kenya, Uganda au kwingineko bila kuulizwa visa. Umuhimu wa kuingia nchi za wengine na kukaa bila kubughudhiwa. Mimi naamini hii mipaka ni chanzo kikubwa cha umasikini kwa mwafrika. Mipaka inawazuia watu kutafuta maisha na riziki, pale wanapoona inafaa.Ukweli usemwe
Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa katika uongozi wake yapo mambo mazuri alifanya na pia yapo ya kipuuzi ambayo alifanya. Akaendelea kusema anashangaa wanaomfuatia wanayaacha yenye tija na kuendeleza yale mabaya yake.
Katika mambo ya kipuuzi aliyoyafanya mojawapo ni lile la kuipeleka nchi kwenye Umoja wa nchi huru za Afrika (OAU) ambayo sasa inaitwa Umoja wa Afrika (AU) bila kuzingatia utashi na maamuzi ya wananchi.
Ikumbukwe kipindi hiko, Mwalimu alikuwa anaungwa mkono hata na watoto wadogo hivyo angepeleka jambo la kujiunga na jumuia za kikanda wangepiga kura na kumbukumbu ingebaki. Lakini maamuzi yake aliyoyafanya kwa niaba ya Taifa zima hayakuzingatia utashi wa nchi na kiukweli hata Katiba yetu hairuhusu jambo hilo. Katiba ipo kimya kama ilivyonyamazishwa na waliyoiandika.
Sambamba na hilo, uamuzi wa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar ni mufilis endapo utaratibu haukufuatwa. Sidhani kama wananchi enzi hizo waliulizwa na kuridhia kupitia kura kabla ya Nyerere na Karume kuungana. Leo tuna muungano unaolindwa kwa mtutu wa bunduki na wizi wa kura. Muungano ambao viongozi wanaapa kuulinda kwa sababu una maslahi kwao na si kwa wananchi.
NINI KIFANYIKE
Mzee wa Msoga aliwahi kusema kwenye kikao cha wakuu wa nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki kuwa, kabla ya kupata Rais mmoja wa Jumhiya ni sharti wananchi waulizwe kwanza.
Pamoja na mapungufu kadha wa kadha yanayozungumzwa dhidi ya JK, lakini hili la kurudi kwa wananchi kupata ridhaa ni jambo ambalo hakuna rais wa Afrila aliwahi siyo kusema tu, bali hata kuliwaza.
Nashauri, serikali ianze mchakato wa kura za maoni kuhusu sisi kujiunga jumuiya zote za kikanda yaani
AU (African Union)
SADC (Southern African Developing Countries)
EAC (East African Comunity)
ADB
OIC (YKWIM)
Na zingine ambazo wametupeleka huko kama misukule.
Bunge lisitumike kama mhuri wa kufanya maamuzi yanayohitaji utashi wa wananchi ambao ndiyo wenye nchi
Kinyume na hapo, hizo jumuiya zina manufaa makubwa kwa viongozi badala ya kunufaisha nchi.
CC: Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy zitto junior Pascal Mayalla Erythrocyte Mzee Kigogo Retired raraa reree Extrovert Mdude_Nyagali Depal Mamndenyi Joannah Mzee Mwanakijiji funzadume Mshana Jr Bujibuji Simba Nyamaume
Usijihangaishe kunitafuta kujua naishije.Mkuu sijui mishe zako za kila siku. Ila kama ungekuwa mhangaikaji unatafuta maisha mtaani, NAAMINI ungejua umuhimu wa kupita boda bila kuomba visa. ungajua umuhimu wa kuingia kenya, Uganda au kwingineko bila kuulizwa visa. Umuhimu wa kuingia nchi za wengine na kukaa bila kubughudhiwa. Mimi naamini hii mipaka ni chanzo kikubwa cha umasikini kwa mwafrika. Mipaka inawazuia watu kutafuta maisha na riziki, pale wanapoona inafaa.
Ningekuwa kiongozi ningewashawishi viongozi wanaojielewa..Africa tukafuta mipaka yote! Yes, naunga mkono hizi jumuiya za kikanda. Sasa wewe kushindwa kuzitumia hizi fursa haina maana kwamba hazina umuhimu. AMKA UPAMBANE.
Umejichanganya kwenye kujenga hoja yako. Umeanza kusema maamuzi ya kujiunga kwenye hizo jumuia yalikuwa ya KIPUUZI hapa unazungumzia substance then ukaponda utaratibu uliotumika, hapa unazungumzia procedure.Soma uzi vizuri kabla haujazidi kuchanganyikiwa
Umejichanganya kwenye kujenga hoja yako. Umeanza kusema maamuzi ya kujiunga kwenye hizo jumuia yalikuwa ya KIPUUZI hapa unazungumzia substance then ukaponda utaratibu uliotumika, hapa unazungumzia procedure.
Nakubaliana nawe kwenye hoja ya utaratibu, ila vile vile uangalie na mazingira yaliyokuwepo wakati Nyerere akifanya maamuzi hayo.
Then unakuja kuhoji faida na hasara, ukiashiria walio au wanaofaidika ni viongozi, bila kuwa na ushahidi wowote.
Kwa kifupi uzi hauna mashiko kihoja.
Bado umenasa pale pale. Nia au dhumuni vyote ni substance ambavyo sio "upuuzi" kama unavyodai.Kwa hiyo ukahemka.
Maamuzi yakifanywa ni matokeo ya NIA au DHUMUNI. Unapokuwa na dhumuni unaandaa mkakati na utaratibu wa kufanikisha. Hivyo wachache hawawezi kutuamulia tulio wengi.
Hakuna anaelazimisha urudishe neno mkuu.Nimeshasema na sirudishi neno
Weka manufaa hapaHakuna anaelazimisha urudishe neno mkuu.
Mwisho wa siku wote aidha tuelimike kwa hoja zinazotolewa au tubaki na misimamo yetu.
Wewe ubaki na msimamo wako kwamba kujiunga na SADC, EAC au RECs nyingine for that matter ni upuuzi, mimi nibaki na msimamo wangu kwamba kuna manufaa!
Huna google? Na nilikuambia toka mwanzo ulipojenga hoja ya 'upuuzi' ungeweka hasara unazoziona: kiuchumi, kisiasa na kijamii ili ku justify huo upuuzi!Weka manufaa hapa
Basi kama majibu unayo unachokizungumza ni kipi ndugu.Huna google? Na nilikuambia toka mwanzo ulipojenga hoja ya 'upuuzi' ungeweka hasara unazoziona: kiuchumi, kisiasa na kijamii ili ku justify huo upuuzi!