Maamuzi ya Wakinamama yasiingiliwe

Basi wangewachagua wengine

Sio kujipendelea wao wenye hao akina mdee wangewapeleka akina Hilda na wengine ambao hawakuawahi kuwa wabunge wangeeleweka

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Huyo Hilda kila siku anasema hawezi kisaliti chama hata iweje, na Bado anaendelea kusisitiza. Nenda Twitter ukamsome vizuri.
Kwanini wajisumbue nae...atakuja kujuta kususia nafasi aliyoipata, binti mdogo ana kiburi [emoji3][emoji3]
 
Hao 19 wote watimuliwe uanachama na chama kipeleke majina mengine!
 
Huyo Hilda kila siku anasema hawezi kisaliti chama hata iweje, na Bado anaendelea kusisitiza. Nenda Twitter ukamsome vizuri.
Kwanini wajisumbue nae...atakuja kujuta kususia nafasi aliyoipata, binti mdogo ana kiburi [emoji3][emoji3]
Hajui siasa bado
 
Mmesha wadanganya alafu mnasema oohhh maamuzi ya akina mama yaheshimie,sheria ina kata kotekote wapumbavuu hawa
 
Ni lazima watendewe haki.
Kama hawakupata baraka za chama kwanini wamekizunguka chama?Yaani leo wanashirikiana na Ndugai kukihujumu chama?Yaani Chama kimedhalilishwa sana na hawa akina mama!Muda kisheria bado upo mpaka mkutano wa 3 ambao ni April mwakani,kwanini wawahi hivyo badala ya kukaa chini na chama kutafuta muafaka?
Wafukuzwe tu,majina ya viti maalumu ni mengi!Yapelekwe majina mengine ili iwe fundisho!
 
Wazalendo hawa wameona chama kinapuuzia maslahi ya Taifa...
 
Kwanini asipewe mkeo inamaana yeye siyo mama?
 
Kwanini malazimisha Chadema iwe na wabunge bungeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…