Maamuzi ya Wakinamama yasiingiliwe

Kuna wafia chama kama nawaona wanavyokucheck.
 
Mchakato ni halali na umesimamiwa na wanawake wenyewe kupitia baraza lao. Hawatakiwi kuingiliwa.
Kichwa chako ni box tupu,kisa wamesimamia wanawake ndio inaufanya uwe halali?Mbona hamkuona uhalali wa wanawake mlipowapiga mabomu kwenye mikutano yao ya ndani?
Maamuzi ya kuteua Viti maalum kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA hufanywa na "kamati kuu" ya chama na si "wanawake" kama box lako la kutunzia meno na macho linavyowaza!
 
Kilichofanyika ni zaidi ya jinai..
Hakuna jinai. Ni kuheshimu katiba ya nchi.
Chama cha siasa sio biashara binafsi. Chama kilichopata kura za kuteua wabunge wa viti maalum KINAWAJIBIKA kufanya hivyo. Ni WAJIBU sio hiyari.
 
Kweli kabisa hii WINDOW ya viti maalum imekuja kwa lengo la kutekeleza malengo ya MILENIA.Chadema wanapaswa kuzingatia kwa kuthink big than low.Kuingilia uhuru wa wanawake ni kuwanyanyapaa
 
Hizo mahakama ziko wapi! Mahakama inashiriki kufuta kesi ya jinai kwa maagizo! Usitegemee mahakama hizo kwani zimeshindwa kusimamia katiba ya nchi.
Kama chama hakiamini taasisi zote na vyombo vya dola basi hicho sio chama cha siasa bali ni kikundi kinachojiandaa na uasi.
 
Acheni kufokafoka wakalitumikie taifa! Katibu mkuu john mnyika anafoka sana! Anatoa maneno machafu kwa wanawake utafikiri siyo katibu mkuu! Kama ameona kuna dosari vikao vya ndani vipo na kikao kingetoka na maamuzi ona sasa kashafoka ndoo wanaenda kukaa kuwajadili hii imekaa vibaya sana nafasi hiyo hatoshi
 
Mkuu karibu sana. Muda mrefu sijaona post zako.
 
upinzani nchi hii hautakufa kwa sababu hakuna chadema. wala chadema haitakufa kwa kufukuza watu 19. upinzani hauwezi kufa kamwe kwa sababu ccm haina mawazo ya kuongoza nchi. ni hajuza. kizee. haina uwezo wa kufanya lolote mbali na kutumia maguvu na hujuma.
 
Upinzani hauwezi kufa. Hakuna nchi inayokosa watu abnormal. Hiyo ni kawaida.
 
Siungi mkono hoja yako.

Dhana ya viti maalumu kwa zama zile ilikuwa na tija hasa kulingana na changamoto kubwa sana za kijamii na kitamaduni lakini kwa sasa hapana hata kidogo.

Ningekuwa kwenye mamlaka ningefuta vyeo vyote hivyo vya viti maalumu maana havina tija kwa taifa asilimia kubwa wanaoenda bungeni kupitia vyeo hivyo hasa kwa chama changu cha Mapinduzi ni zaidi ya huo umaalumu .

Zama za kubebana bebana zishapitwa .

Kidumu chama tawala.
 
Siungi mkono hoja yako.

Dhana ya viti maalumu kwa zama zile ilikuwa na tija hasa kulingana na changamoto kubwa sana za kijamii na kitamaduni lakini kwa sasa hapana hata kidogo.

Ningekuwa kwenye mamlaka ningefuta vyeo vyote hivyo vya viti maalumu maana havina tija kwa taifa asilimia kubwa wanaoenda bungeni kupitia vyeo hivyo hasa kwa chama changu cha Mapinduzi ni zaidi ya huo umaalumu .

Zama za kubebana bebana zishapitwa .

Kidumu chama tawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…