Maamuzi ya Wakinamama yasiingiliwe

Mkuu, hilo linajadilika. Lakini, kwavile viti hivi bado vipo, ni muhimu wakinamama wenyewe wawe waamuzi juu ya nafasi zao.
 
Naunga mkono hoja
P

1. Utaratibu umefuatwa?

2. Tunahaja au sababu kuwa na katiba za vyama?...... au wanawake tu peke yao.

3. Kunasababu yoyote kuwa na halimashauri/kamati za vyama/vikao vya vyama kujadili na kuafikiana? Au wanawake wana vyama vyao vya siasa kivyao nje ya wanaume

4. Kwanini form zinahitaji baraka za vikao vya chama (wanaume na wanawake)? Kwa kila atakae teuliwa ilikuthibitishwa kwake kuwe na maana kisheria?
 
Even though kuna kanuni za kufuatwa,ccmwachague viti maalumu vy chadema?

Akili akili akili
 
Acha unafiki wewe kiazi...wamejichagua wao wenyewe kama wenyewe,hakuna mwanamke Bawacha kampigia kura hata mmoja kua Wabunge viti maalumu

Jitu zima linapokua nafiki hivi hata all your writtings zinakua useless.....

Bure kabisa
Mkuu, punguza hasira. Relax. Waache Wakinamama wafanye maamuzi yao. Malalamiko yote so far yanayoka kwa wanaume, hii si sahihi. Ni jambo la wanawake...
 
Wakina mama wa Bawacha wamekutana lini wakapiga kura kuchagua wanawake 19 wakawe wabunge?

Unachoudhi unasema uongo of which makes you look like a monkey tu
Sawa mkuu. Tuendelee kuwa pamoja. Wabunge wote walioapishwa ni Wabunge halali kwa mujibu wa Katiba.

Tujenge nchi. Tusiwaingilie Wakinamama kwenye mambo yao.
 
Mpuuzi wewe UDPD, ACT, TLP, NCCR na CUF hakuna akina mama mnataka tu wa CHADEMA?
 
Wabaki nao huko huko, fukuzeni kazi yenu iishie hapo tu
 
Relax, hasira haijengi.
Bunge ni la wananchi wote.
 
Cha kushangaza povu jingi linatoka kwa wanaume Kama sio wivu na mfumo dume kitu gani?
Wanaume acheni ubinafsi wenu heshimuni wanawake
Acha ushamba wewe umeambiwa sisi tunashida na wanawake kuwa katika uongozi, baba yako ndie alitoa barua rasmi kuwapa kibali cha kupata teuzi....?!

Hebu kuwa serious muda mwingine
 
Watafukuzwa na watabaki kuwa vitimaalum kupitia ccm.
 
1.7t mtazisikia tu radio Kwizera FM.
 
Dah....ni aibu kubwa kwa Wanaume kujadili mambo ya wanawake.....tuwaachie wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960]
 
Mchungaji Erasto anasema haiwezekani wanaume wawateulie wanawake viongozi wa kuwawakilisha, huo ni mfumo dume uliopitiliza.

Mchungaji anasema pamekuwepo malalamiko yaliyofika hadi kwa Spika kwamba wabunge wa viti maalumu huombwa rushwa " maalumu " kabla ya uteuzi na hili ni jambo baya kabisa.

Sasa kama Halima Mdee amewaokoa wenzake kutoka mdomoni mwa mwamba na kuwafikisha bungeni wakiwa " hawajaguswa" hilo mi jambo la kumpongeza amesisitiza mchungaji.

Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…