ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
- Thread starter
-
- #81
Mfano mzuri...Mchungaji Erasto anasema haiwezekani wanaume wawateulie wanawake viongozi wa kuwawakilisha, huo ni mfumo dume uliopitiliza.
Mchungaji anasema pamekuwepo malalamiko yaliyofika hadi kwa Spika kwamba wabunge wa viti maalumu huombwa rushwa " maalumu " kabla ya uteuzi na hili ni jambo baya kabisa.
Sasa kama Halima Mdee amewaokoa wenzake kutoka mdomoni mwa mwamba na kuwafikisha bungeni wakiwa " hawajaguswa" hilo mi jambo la kumpongeza amesisitiza mchungaji.
Maendeleo hayana vyama!
Ivi ww uliumia Matiko alipopgwa dole? Halima alipovunjwa mkono?Cha kushangaza povu jingi linatoka kwa wanaume Kama sio wivu na mfumo dume kitu gani?
Wanaume acheni ubinafsi wenu heshimuni wanawake
Nilisikitika,Ila kilichonichosha ni wanaume kuwafanya maamuzi Mambo ya wanawakeIvi ww uliumia Matiko alipopgwa dole? Halima alipovunjwa mkono?
Ni ishara ya wanaume hao kutokujiamini.Nilisikitika,Ila kilichonichosha ni wanaume kuwafanya maamuzi Mambo ya wanawake
Kama yapi kwa mfanoNilisikitika,Ila kilichonichosha ni wanaume kuwafanya maamuzi Mambo ya wanawake
Haya Kamchumbieni Halima hana mme...bazazi nyie...vivurugeViti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa.
Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na sababu mbalimbali za kijamii na kitamaduni.
Katika kuheshimu misingi ya malengo hayo ya kuwa na viti maalum, ni muhimu maamuzi juu ya viti maalum yakaachwa mikononi mwa wanawake wenyewe.
Haitakuwa sahihi, kikao cha wanaume kiamue kupinga maamuzi ya wanawake kuhusu nafasi za Ubunge wa wanawake.
Ni matumaini ya wajali usawa wa kijinsia kuwa Spika wa Bunge atazingatia na kulinda haki za wabunge wanawake pale itakapotokea viongozi wanaume ndani ya vyama vyao wakitumia ubabe kupindua maamuzi ya wanawake wenyewe.
Vilevile ni muhimu sasa itungwe sheria mahsusi kwa ajili ya kuyalinda makundi maalumu kama la viti maalum vya wanawake Bungeni dhidi ya ubabe na ukandamizaji wa viongozi wanaume.
Wababa wametumia mabavu kuwadhibiti wadada!Haya Kamchumbieni Halima hana mme...bazazi nyie...vivuruge
Jeuri ya kutunga Sheria CCM hawana wanaogopa itauma kwao pia.badilini iwe mbunge akivuliwa uanachama anaendelea na ubunge,udiwani au urais.spika ataendelea kuwalinda wakifukuzwa na upinzani si kubali sheria.ccm ni waoga mno.Mfumo dume sasa inabidi utungiwe sheria kali kuudhibiti.
Uzuri harakati ya akimama cdm inaongozwa na mwenyekiti wa akina mama. Kitendo chochote cha kumnyanyasa ni sawa na kunyanyasa wanawake wote cdm. Sioni kiongozi mwenye uwezo na busara wa kushughulikia mtafaruku uliopo sasa ndani cdm.
Hatimaye maamuzi rasmi ya Baraza la Wanawake yametenguliwa na kikao kilichojaa Wanaume.Jeuri ya kutunga Sheria CCM hawana wanaogopa itauma kwao pia.badilini iwe mbunge akivuliwa uanachama anaendelea na ubunge,udiwani au urais.spika ataendelea kuwalinda wakifukuzwa na upinzani si kubali sheria.ccm ni waoga mno.