Maamuzi ya watu wachache yanakuja kugharimu watu wengi na wote

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu..

Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi hii ni akili ya mtu wa kawaida

Dhumuni kubwa la hawa watu Lissu, Slaa, Bagonza na wengine ni kuona Tanzania hii watu wameeandamana wapo barabarani kutetea haki zao haki haipatikani hivi.

Lengo la watu wengi ni kuondoa CCM madarakani kuna njia sahihi ya kuondoa lakini sio kuwashawishi watu waingie barabarani hii haipo sawa hata kidogo

Kinachonishangaza zaid viongoz wa dini ambao wao pia huwa wana hamasisha amani ilindwe Leo hao wanaonekana wachochozi wakubwa wa kuvuruga amani kwanini ninyi viongozi wa dini msiombe kukutana na Rais mkaonge na mkaomba kukutana na hao wanapinga mkataba wa bandari mkawasikiliza ndipo mkaleta amani au kutatua sitofahamu.

Kila pande katika huu mgogoro upo sahihi lakini kuna namna mzuri ya kuonyana na kukosona pasipo kuvunja sheria wala kuharibu aman lakini ninyi viongozi wa dini ndio wachochezi inashangaza sana.

Kumbekeni hapa watakao hathirika ni watz masikini sisi hambao hatuna visa wala.pasport wala sehemu ya kukimbilia Leo hii tz inapokea wakimbizi kwa muda mrefu sna je mmeshawai jiuliza kesho ninyi mnakuwa waakimbizi mnakimbilia wapi?

Je, waathirika wa vitu hivyo? Wakinan? Leo wakina tundu lissu wanapata sapoti kubwa kutoka kwa mzungu na wanalipwa ni sababu mwarabu amekuwa akitaka kuwekeza sehemu nyeti sana au kitovu cha uchumi wa nchi mzungu anafitinisha na sisi Watanzania tunajaa.

Kesho sis tunagombana wao wana amani mliangalie hili kwa umakini mtz mwenye Uwezo wakufikir afikirie ipo njia sahihi lakini sio kuharibu aman
 
Hakuna njia sahihi ya kuiondoa CCM .
 
Mkuu ongea kama mtu mzima mzee angalia na uhalisia uliopo
Na huu ndiyo ukweli mchungu kwenu. Majivuno, ujuaji, kiburi, dharau, umungu mtu, ukaidi, ubishi, ubabe, ubinafsi, nk. Vimewajaa viongozi wengi waliopewa dhamana ya kuwaongoza wengine.

Kama wananchi waliowaweka madarakani wanakataa jambo fulani lisifanyike kwa manufaa ya nchi, kwa nini msiwasikilize?
 
Na huu ndiyo ukweli mchungu kwenu. Majivuno, ujuaji, kiburi, dharau, umungu mtu, ukaidi, ubishi, ubabe, ubinafsi, nk. Vimewajaa viongozi wengi waliopewa dhamana ya kiwaongoza wengine.

Sasa kama wananchi waliowaweka madarakani wanakataa jambo fulani lisifanyike kwa manufaa ya nchi, kwa nini msiwasikilize?
Kwahiyo wewe chadema ukipewa nchi ndio utakuwa unasikiliza wanachi si wazungu watazagaa hapa nchi kama kumbi kumbi
 
Bas acheni kuvuruga aman af watz wapo bise na kutafuta ugali ninyi ndio mpo bise kuchafua nchi
Mi sihusiki kuvuruga amani na sina mpango wa kufanya maandamano yoyote, iwe ya CCM au Chadema.

Nachokijua ni kwamba , Mungu tu ndo mwenye maamuzi ya kuiondoa CCM maana kwa njia za kibinadamu zinaonekana kushindikana.
 
Lakini hawa chadema wanataka damu imwagike waseme wao wazalend hakuna mzalendo wa hivyo
 
Nadhani kama Serikali itakubali kukaa chini na kurekebisha baadhi ya vipengele kwenye makubaliano, hizi kelele zitakoma.

Siku zote DJ ndo mwenye maamuzi ya kuendelea kupiga mziki au kuzima vifaa. So Serikali mwenyewe ndo anaweza zimisha hizi kelele kwa kutimiza matakwa ya hawa wanaoongea kwa hoja.
 
Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu..

Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi hii ni akili ya mtu wa kawaida

Dhumuni kubwa la hawa watu Lissu, Slaa, Bagonza na wengine ni kuona Tanzania hii watu wameeandamana wapo barabarani kutetea haki zao haki haipatikani hivi.

Lengo la watu wengi ni kuondoa CCM madarakani kuna njia sahihi ya kuondoa lakini sio kuwashawishi watu waingie barabarani hii haipo sawa hata kidogo

Kinachonishangaza zaid viongoz wa dini ambao wao pia huwa wana hamasisha amani ilindwe Leo hao wanaonekana wachochozi wakubwa wa kuvuruga amani kwanini ninyi viongozi wa dini msiombe kukutana na Rais mkaonge na mkaomba kukutana na hao wanapinga mkataba wa bandari mkawasikiliza ndipo mkaleta amani au kutatua sitofahamu.

Kila pande katika huu mgogoro upo sahihi lakini kuna namna mzuri ya kuonyana na kukosona pasipo kuvunja sheria wala kuharibu aman lakini ninyi viongozi wa dini ndio wachochezi inashangaza sana.

Kumbekeni hapa watakao hathirika ni watz masikini sisi hambao hatuna visa wala.pasport wala sehemu ya kukimbilia Leo hii tz inapokea wakimbizi kwa muda mrefu sna je mmeshawai jiuliza kesho ninyi mnakuwa waakimbizi mnakimbilia wapi?

Je, waathirika wa vitu hivyo? Wakinan? Leo wakina tundu lissu wanapata sapoti kubwa kutoka kwa mzungu na wanalipwa ni sababu mwarabu amekuwa akitaka kuwekeza sehemu nyeti sana au kitovu cha uchumi wa nchi mzungu anafitinisha na sisi Watanzania tunajaa.

Kesho sis tunagombana wao wana amani mliangalie hili kwa umakini mtz mwenye Uwezo wakufikir afikirie ipo njia sahihi lakini sio kuharibu aman
Kiburi kikizidi kwa watawala wakatuona sisi wapumbavu tuliowaweka madarakani, sababu wana jeshi na polisi, kinachotakiwa kitumike ni nguvu ya Umma
 
Kwani nani aliulizwa kuhusu kuingia mikataba 40 na Dubai? Mikataba ya aina gani?
Kwani nani aliulizwa kuhusu kuigawa Loliondo? Watanzania wako milion 60. Ila Pareto law inasema 20% huwa inasababisha 80% ilegeze kichwa.
Usidharau watu sababu ni wachache..dharau sababu ya hoja zao
 
Basi ingia barabarani tukuone kama kweli ww mkereketwa
 
Kwani nani aliulizwa kuhusu kuingia mikataba 40 na Dubai? Mikataba ya aina gani?
Kwani nani aliulizwa kuhusu kuigawa Loliondo? Watanzania wako milion 60. Ila Pareto law inasema 20% huwa inasababisha 80% ilegeze kichwa.
Usidharau watu sababu ni wachache..dharau sababu ya hoja zao
Sawa huo utafiti wako uneutoa wapi kwenye chungu au?
 
Mtajua wenyew,kwa ninavyojua bandari apewe mwarabu au ikibak mikononi mwetu hakuna kitakacho badirika kwa mtz kama mimi
 
Back
Top Bottom