Maamuzi ya watu wachache yanakuja kugharimu watu wengi na wote

Halafu siyo kila Mtanzania Mzalendo anayezipinga sera za Kikoo na Kisultan za ccm, basi ni Chadema.
Kama sio chadema nani? Kama mnapinga sheria au mikataba kandamizi kwanini msitumie njia sahihi ambayo ni mzuri haito zua taharuki Kama mfanyavyo?
 
Naamini Magufuri na Mkapa wangekuwepo, wangeungana na Chadema kuupinga huu mkataba
Kawafufue umeacha kuwalilia mababu zako huko kwenu walio kufanya wewe uzaliwe uko unalialia kwa watu ambao huwajui

Kwenu uko sia ajabu ata kaburi la baba yak au mama yako ujalijengea wala kusafisha
 
Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu..

Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi hii ni akili ya mtu wa kawaida

Dhumuni kubwa la hawa watu Lissu, Slaa, Bagonza na wengine ni kuona Tanzania hii watu wameeandamana wapo barabarani kutetea haki zao haki haipatikani hivi.

Lengo la watu wengi ni kuondoa CCM madarakani kuna njia sahihi ya kuondoa lakini sio kuwashawishi watu waingie barabarani hii haipo sawa hata kidogo

Kinachonishangaza zaid viongoz wa dini ambao wao pia huwa wana hamasisha amani ilindwe Leo hao wanaonekana wachochozi wakubwa wa kuvuruga amani kwanini ninyi viongozi wa dini msiombe kukutana na Rais mkaonge na mkaomba kukutana na hao wanapinga mkataba wa bandari mkawasikiliza ndipo mkaleta amani au kutatua sitofahamu.

Kila pande katika huu mgogoro upo sahihi lakini kuna namna mzuri ya kuonyana na kukosona pasipo kuvunja sheria wala kuharibu aman lakini ninyi viongozi wa dini ndio wachochezi inashangaza sana.

Kumbekeni hapa watakao hathirika ni watz masikini sisi hambao hatuna visa wala.pasport wala sehemu ya kukimbilia Leo hii tz inapokea wakimbizi kwa muda mrefu sna je mmeshawai jiuliza kesho ninyi mnakuwa waakimbizi mnakimbilia wapi?

Je, waathirika wa vitu hivyo? Wakinan? Leo wakina tundu lissu wanapata sapoti kubwa kutoka kwa mzungu na wanalipwa ni sababu mwarabu amekuwa akitaka kuwekeza sehemu nyeti sana au kitovu cha uchumi wa nchi mzungu anafitinisha na sisi Watanzania tunajaa.

Kesho sis tunagombana wao wana amani mliangalie hili kwa umakini mtz mwenye Uwezo wakufikir afikirie ipo njia sahihi lakini sio kuharibu aman
Ukimaliza kubishana hapa unaenda kuchukua kibunda chako Lumumba
 
Umepaniki sana. Naona unahisi kama hao Chadema wanataka kukunyang'anya pande la nyama mdomoni.
Sipaniki kijinga ila mnachukiza sana watu wachache ambao mmeshikwa akili na chadema tena tundu lissu kumuona ana akili kuliko mtz yoyote
 
Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu..

Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi hii ni akili ya mtu wa kawaida

Dhumuni kubwa la hawa watu Lissu, Slaa, Bagonza na wengine ni kuona Tanzania hii watu wameeandamana wapo barabarani kutetea haki zao haki haipatikani hivi.

Lengo la watu wengi ni kuondoa CCM madarakani kuna njia sahihi ya kuondoa lakini sio kuwashawishi watu waingie barabarani hii haipo sawa hata kidogo

Kinachonishangaza zaid viongoz wa dini ambao wao pia huwa wana hamasisha amani ilindwe Leo hao wanaonekana wachochozi wakubwa wa kuvuruga amani kwanini ninyi viongozi wa dini msiombe kukutana na Rais mkaonge na mkaomba kukutana na hao wanapinga mkataba wa bandari mkawasikiliza ndipo mkaleta amani au kutatua sitofahamu.

Kila pande katika huu mgogoro upo sahihi lakini kuna namna mzuri ya kuonyana na kukosona pasipo kuvunja sheria wala kuharibu aman lakini ninyi viongozi wa dini ndio wachochezi inashangaza sana.

Kumbekeni hapa watakao hathirika ni watz masikini sisi hambao hatuna visa wala.pasport wala sehemu ya kukimbilia Leo hii tz inapokea wakimbizi kwa muda mrefu sna je mmeshawai jiuliza kesho ninyi mnakuwa waakimbizi mnakimbilia wapi?

Je, waathirika wa vitu hivyo? Wakinan? Leo wakina tundu lissu wanapata sapoti kubwa kutoka kwa mzungu na wanalipwa ni sababu mwarabu amekuwa akitaka kuwekeza sehemu nyeti sana au kitovu cha uchumi wa nchi mzungu anafitinisha na sisi Watanzania tunajaa.

Kesho sis tunagombana wao wana amani mliangalie hili kwa umakini mtz mwenye Uwezo wakufikir afikirie ipo njia sahihi lakini sio kuharibu aman
Waache waandamane tu wafanyakazi wanaishi maisha magumu kweli Hasa Hawa wa chini huenda ilawashtua walioko juu kuwa Hali ni ngumu
 
Back
Top Bottom